Special :Questions And Answers (Q and A)

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Uliza swali lolote liwe la kiutani au linalohitaji kufikiri.
Then anaweza kutokea mtu akalijibu kwa kina au kifupi..

Uliza chochote iwe kijamii,kiuchumi na kisiasa..
Ambalo unaliona hulielewi unaweza kupata majibu ya ufafanuzi au majibu ya kiufupi pengine..

For Example ?
Hivi ndege(Airplanes)huwa zinatumia mafuta gani?

Mimi sijui jibu lakini labda Anaweza kutokea wa kulijibu
 
zagarinojo kwa siku unaanzisha uzi mara ngapi JF, na nini hupelekea kua unapost mara kwa mara JF?
Stress za maisha bro Ila huwa sihesabu thread nazoanzisha kwa siku..
Alafu huwa nikianzisha thread nahisi Kama I'm clearing my head
 
Ila mbona mnauliza personal Quiz thread ingependeza Kama tungeuliza maswali yasiyo personal
 
Hapo kwenye kizungu sujaelewa mkuu.
Nasema kwamba Ila mbona unataka nitaje miaka yangu Ila kama ukitaka ntataja endapo na wewe pia utataja yako na utajibu maswali yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…