Special :Questions And Answers (Q and A)

Special :Questions And Answers (Q and A)

Nikiweka ile people think I'm a female so decided to make it right
Ile ilikua ni picha ya mtoto kambeba mtoto mwenzie, kwanini watu wakuhisi ni female kwa picha ile? Huhisi kama kuna kingine zaidi?
 
How can you divide Gog (Supreme Being) into three parts? We were told by the missionaries . For me God is One, omnipotent and benevolent.
 
Uliza swali lolote liwe la kiutani au linalohitaji kufikiri.
Then anaweza kutokea mtu akalijibu kwa kina au kifupi..

Uliza chochote iwe kijamii,kiuchumi na kisiasa..
Ambalo unaliona hulielewi unaweza kupata majibu ya ufafanuzi au majibu ya kiufupi pengine..

For Example ?
Hivi ndege(Airplanes)huwa zinatumia mafuta gani?

Mimi sijui jibu lakini labda Anaweza kutokea wa kulijibu
1.Vipi naweza kuutambua umeme kama ni three phase?
2. Je umeme wa three phase unafaa kufunga kwenye banda la kuku?
3. Kwanini three phase unakuwa na volts 380 wakati single phase inakuwa na volts 230?
4. Je kila phase moja inapishana na nyingine kwa nyuzi ngapi? Ukijibu hili rudia swali namba tatu.
5. Kwanini 2 phase haitumiki sana?
6. Kuna transformer inapooza umeme kutoka 11,000volts to 230volts (11Kv - 230v) ilikwa current kwenye 230volts ni 100A tafuta current ya kwenye 11Kv pamoja ba Primary na secondary winding. 7. Je elecrtic field katika 11Kv itakuwa na thrength gani na natakiwa kuwa umbali gani bila kuushika waya unaopitisha 11Kv.
8. Hivi KWh ni kipimo cha umeme. Je ikiwa unit moja inauzwa Tshs 290 na kila nikienda kununua umeme wanakata kodi asilimia 18 (18%) Je Shillingi 50,000 napata units ngapi?
9. Kwenye nyumba kuna balbu 5 tu ambazo zote zina kizio cha Watts 40. Nifanyie makisio kwa siku nitatumia unit ngapi?
10. Zagarino means what? Explain with one word.
 
Watu mnaojua majibu ya maswali haya mje basi na majibu
Mtanishukuru baadae kwa hii thread
Let it last
 
Back
Top Bottom