Majengo ya wapi? Afu hii biashara ya kutiana kiu asubuhi hailipi....Nimemkumbuka Baba Sande ghafla!Usha'clear' doubts zako sasa? maana wewe siku hizi kuna unachontafuta si bure hahahahh
Naja very soon. By the way karibu Mbeghe hapa Majengo!!
Maty mzima wewe? I cant wait to see you mydia!Mbu kwa kupenda kuturingishia tu hujambo, haya bwana mi napita tu
Quote of the day! Bingo!Hakuna kitu kizuri, kama kupania halafu ukapata ulichopania
Maty mzima wewe? I cant wait to see you mydia!
Savoi hapaendeki safari hii?!
Quote of the day! Bingo!
Na kinyume chake, hakuna kitu kibaya kama kupania afu ukose ulichokipania. Inauma sana aisee!
MTM hapo kwenye red hapo haswaaa ndipo panaponigusa mimi!! Kwa hali ya kawaida tu huwaa binadamu tunasikia raha tunapoona kuwa tunaapreciatiwa kwa kitu tulichokifanya, hata maofisini Boss akikusifia au kukushukuru kwa kufanya kazivizuri huwa tunasikia raha na kutufanya kuipenda kazi na kuongeza bidii kwa nini tusiiapply kwenye mapenzi na mahusiano? appreciate kwa SRMs (If I may borrow this ) tuona kama tutazidisha kupenda wenzi wetu.VEry true MJ1...some special moments go unnoticed because of poor communication, but rest assured, once you have experienced then, you never forget
Hakuna kitu kizuri, kama kupania halafu ukapata ulichopania
Majengo ya wapi? Afu hii biashara ya kutiana kiu asubuhi hailipi....Nimemkumbuka Baba Sande ghafla!
Majengo ya wapi? Afu hii biashara ya kutiana kiu asubuhi hailipi....Nimemkumbuka Baba Sande ghafla!
kweli mkuu, ila waweza pania halafu ukaishia kadhiaHommie, nikipania nimepania, hata ipite miaka 10, bado nimepania na lazma nikipate tu! hahahaha
afu hommie, ngoma ipigwe mtaa wa pili, we huku ucheze? si nimekaribishwa mimi lakini? au ndio kusema sharing is caring LOL
Sir, I am also humbly humbled by your compliment. Thank you ever so much!
Hivi hapa mnazungumzia nini tena???
Asprin na wenzako acheni kuchakachua thread ya MJ1
The Finest naomba tafsiri hapa aisee
Dena Amsi
Kwa nini huniombi mimi niliyeandika?
Ningeshangaa kama ungeipotezea. Ila nimekasirika kwanini hujaipotezea..........Hahahaha nlitaka niipotezee hii post lakini dah................ Kaizer bana
Wewe huji kiswahili bana utazidi kunichanganya tuuu..
BTW; Nimeomba hapo juu hujaona
Nina stashahada ya Kiswahili festi klasi toka UDSM