Special Romantic Moments......

Special Romantic Moments......

Usha'clear' doubts zako sasa? maana wewe siku hizi kuna unachontafuta si bure hahahahh
Naja very soon. By the way karibu Mbeghe hapa Majengo!!
Majengo ya wapi? Afu hii biashara ya kutiana kiu asubuhi hailipi....Nimemkumbuka Baba Sande ghafla!
 
Quote of the day! Bingo!

Na kinyume chake, hakuna kitu kibaya kama kupania afu ukose ulichokipania. Inauma sana aisee!

Hommie, nikipania nimepania, hata ipite miaka 10, bado nimepania na lazma nikipate tu! hahahaha
 
VEry true MJ1...some special moments go unnoticed because of poor communication, but rest assured, once you have experienced then, you never forget

Hakuna kitu kizuri, kama kupania halafu ukapata ulichopania
MTM hapo kwenye red hapo haswaaa ndipo panaponigusa mimi!! Kwa hali ya kawaida tu huwaa binadamu tunasikia raha tunapoona kuwa tunaapreciatiwa kwa kitu tulichokifanya, hata maofisini Boss akikusifia au kukushukuru kwa kufanya kazivizuri huwa tunasikia raha na kutufanya kuipenda kazi na kuongeza bidii kwa nini tusiiapply kwenye mapenzi na mahusiano? appreciate kwa SRMs (If I may borrow this ) tuona kama tutazidisha kupenda wenzi wetu.
 
Majengo ya wapi? Afu hii biashara ya kutiana kiu asubuhi hailipi....Nimemkumbuka Baba Sande ghafla!

afu hommie, ngoma ipigwe mtaa wa pili, we huku ucheze? si nimekaribishwa mimi lakini? au ndio kusema sharing is caring LOL
 
Majengo ya wapi? Afu hii biashara ya kutiana kiu asubuhi hailipi....Nimemkumbuka Baba Sande ghafla!

Hahahah si Majengo ya Dodoma bana ah............. kiu ya asubuhi asubuhi kwako mbona ni kawaida?!
 
Hommie, nikipania nimepania, hata ipite miaka 10, bado nimepania na lazma nikipate tu! hahahaha
kweli mkuu, ila waweza pania halafu ukaishia kadhia

utamu wa spesho moment ni spesho results
 
Hivi hapa mnazungumzia nini tena???

Asprin na wenzako acheni kuchakachua thread ya MJ1
 
Back
Top Bottom