Special Romantic Moments......

kareen, klorokwini ni nani

Ndo huyu hapa chini...ila namshangaa eti..................

Nikupe tip kidogo SaraM....unaweza ukareply kwa kumquote mtu by clicking "reply with quote". Karibu sana....

hehehe kamanda beware of strangers, usje ukasema sikukuonya. Mie always nadili na vizee vya JF tu. hawa wageni hata wakiPM napotezea tu.

Mna mpaka wapopo humu JF.
mimi nitamsubiria akuwe legend kwanza
 
Mkuu tablet, hebu nakupata sana, Check na Signature yangu!

I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!
 
@nyani... ahsante sana kwa ukaribisho wako, hope tutajuana vema mbeleni, @ klorokwini jamani mbona unasema mie stranger? sing'ati bwana,... @ kimei ahsante kwa like ya kwanza nilistuka kupata , nimezoea fb
 
Da'Sara...mbona unaandika kaa mwenyeji hapa?
 
@nyani... ahsante sana kwa ukaribisho wako, hope tutajuana vema mbeleni, @ klorokwini jamani mbona unasema mie stranger? sing'ati bwana,... @ kimei ahsante kwa like ya kwanza nilistuka kupata , nimezoea fb

hehehe karib mama! tuskuvunje moyo na kukukatisha tamaa. wee jimwage tu. Naitwa klorokwini na niko kwenye steji ya uchumba na Keren Happuch. ongezeni maombi Mungu abariki ndoa yetu
 
Mkuu tablet, hebu nakupata sana, Check na Signature yangu!

I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!
Ova! kamanda kuna member anakwenda kwa jina la Uporoto, akija hapa anaweza akatoa ushuhuda zaidi.
 
@nyani... ahsante sana kwa ukaribisho wako, hope tutajuana vema mbeleni, @ klorokwini jamani mbona unasema mie stranger? sing'ati bwana,... @ kimei ahsante kwa like ya kwanza nilistuka kupata , nimezoea fb
Usishtuke SaraM hapa hapaaribiki neno? tupo pamoja kama Inzi na kidonda vile!
 
kwa nini kaka angu, naangaliaga tu leo nimeamua kujiunga

Wala usijali sana dada'ngu...ni ufatashi wangu tu huo. Kwa asili mimi ni mfatashi sana. Natumaini utanizoea tu.
 
Hommie, ilimradi usinigusie Gaga,King'asti na Keren Hapuch....bado niko kwenye research ya nani anafaa kuwa soulmate wa ODM.
Babu bado una celebrate special R.M hahahahaa mie wivu mbona umetupanga, si ulinipromise yupo bibi tu na mimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…