The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Now i know lol!!! Ngoja ODM aamke kutoka kitandani naona bado atakuwa anatafakari akisema Special Romantic Moment yake utacheka mpaka basi ngoja tusubiri ake mwenyewe lol!!!......lol.......... Just part of Alias....
Mzee DC una case na King'asti kuhusu wish yako... She is so MAD at you.... (sorry offtopic... SIRUDII TENA....), itabidi ujitetee...
Nimeelewa lakini bado haujamalizia kabisa haiwezekani unamtafutia bibi maji ya kunywa tu
Now i know lol!!! Ngoja ODM aamke kutoka kitandani naona bado atakuwa anatafakari akisema Special Romantic Moment yake utacheka mpaka basi ngoja tusubiri ake mwenyewe lol!!!
Kweli kabisa....Naamini huyo Mungu ndiye alikuwa driver wenu, na malaika walikuwa mabaunsa....Na Yesu alikuwa.....Mhhhh
Nitarudi baadaye kidogo bro...
Ngoja nikamtafute bibi twende kuhiji kwenye kile kichuguu tulipokuwa tukutana enzi za ujana wetu.....Nahisi kumwaga machozi....Bye bye!!
Hivo Mbu umedhihirisha theory yangu....lol... kwamba rules can be broken because of her... Hivo furaha yangu ya kuona theory yangu haikuenda bure...
Mhhhhh, makubwa haya tena ADii,
Hivi feelings za watu zinaweza kukatiwa rufaa kwa jaji???
ha ha ha... yaani this week mie ni mkosaji tu! Nina case na ODM... nimetenda dhambi ambao alionya nisitende.... Naona ni log out, maana mida yake hii....
...hhhaahha...AshaDii wanipa rahaaaa...!
AD huyu The finest hana lolote anasingizia tu machungu anataka tuamini hajawahipewa raha hata siku moja akajisikia yeye ni special?! hata ile ya kuitikiwa yes honey!! jamani jamani tujifunze kuappreciate. We The Finest unataka nikulipua hapa jamvini? siku ile pale umekuja mwenyewe wapapaswa kitambi chako mbele ya watu unakenua hadi gego hukujisikia special?!! mwone vile ntasema mimi!Ukiona hivo ina maana alokupa hio speacial romantic moment as much as hampo woote... You have not let go..... Pole PA.... Ila naomba utaje, ni ipi hasa mpaka inakufanya iumee kiasi hicho... (alafu MJ1 na Mbu dawa yao ipo jikoni... Hizi topic zao hizi....)
Unajibu kwa lisauti la kizee zee,
Ehhh, ehhhh...kweli malaika wangu na mungu wangu wa hapa kwa duniani!!!!!!??????.....Basi kesho nitaongeza dozi!!!!
Is that not romantic!!!!!
...........................Hii post inanipa hints!! sijui nifanye kweli?! mbona mnanitafutia kesi lakini enyi watwana?Mhhhh...wewe ni mkali sana wa kueleza mambo kwa ufasaha...Kama ungekuwa na darasa, lazima ningekuwa mwanafunzi wako siku moja!!
Hivi baada ya maelezo kama haya.....na kama ni kweli na wengi tunaona hivi....Kwa nini tusikimbie kumwita shekh akawahi na ubani wake ili maandiko yatimie????
Hatuwatendei haki wenzetu!!!
Niendelee kusema?!Hawa MJ1 na MBU wanapenda kweli kufungua nyaraka za Serikali lol!!! PA yaani ni machungu kwenda mbele huwa sipendi hata kuikumbuka halafu huyu MJ1 huyu ngoja nimsake alipo lazima anilipe fidia kwa topic hii aliyoleta lol!!!
.................... Hahaha na ukiileta atakujibu siwezikuchangia kwani nitaharibu siku yangu kwa kukumbukia machungu loh!! anaruka tu vihunzi huyu!!PA ama umenikwepa! Kweli inaelekea ni machungu hasa..... Ukimpata nishtue...lol... Mie nataka kumpongeza...
@MJ1 Tafadhali Baada ya hii thread tafadhali leta ya Machungu.... Tuone what members watasema... walau hata PA hapa asikose la kusema.....
.................... Mbu hebu njoo PM huku tudiscuss hii delicate issue aliyoiraise Mzee DC, Nyani Ngabu na Klorokwini. Inawezaikawa inalipa ujue lol
....lol....niachieni Soulmate wangu jamani, khaaaa? hahahah...mbu yupo likizo AshaDii...
nimejitokeza 'kumpa shavu' mwanajamiione hapa kwa useful sredi 'ake hapa.
Ukisikia kujitetea logically ndio hii hapa....lol
...haahhhaahha....lol...! ni machozi ya huzuni au furaha?
...hhhaahha...AshaDii wanipa rahaaaa...!
hapo kakangu naona nisiingilie saaana....
Hilo swali lamfaa King...
Kwa hisan ya MJ1 na Mbu... naona niku PM jibu....lol.. maana tutabadilisha topic.
Ukifanikiwa nitumie PM na mimi nijaribu, mwenzio niko njia panda,
Napata shinda kama kile kisa cha..."tumbo niache nimwachie manenge uji"....Kama hujawahisikia basi pole!!
ha ha ha... yaani this week mie ni mkosaji tu! Nina case na ODM... nimetenda dhambi ambao alionya nisitende.... Naona ni log out, maana mida yake hii....
AD huyu The finest hana lolote anasingizia tu machungu anataka tuamini hajawahipewa raha hata siku moja akajisikia yeye ni special?! hata ile ya kuitikiwa yes honey!! jamani jamani tujifunze kuappreciate. We The Finest unataka nikulipua hapa jamvini? siku ile pale umekuja mwenyewe wapapaswa kitambi chako mbele ya watu unakenua hadi gego hukujisikia special?!! mwone vile ntasema mimi!
Hahahah Babu DC umenichekesha mbele ya Mpenz anabaki anashangaa hapa!! It is romantic Babu kweli kabisa hahahahahaha. Halafu leo nahisi kama wewe na Klorokwin mnatumia PC moja maana hata nashindwa kujua ni wewe au lah!!
...........................Hii post inanipa hints!! sijui nifanye kweli?! mbona mnanitafutia kesi lakini enyi watwana?
Niendelee kusema?!
.................... Hahaha na ukiileta atakujibu siwezikuchangia kwani nitaharibu siku yangu kwa kukumbukia machungu loh!! anaruka tu vihunzi huyu!!
Anantia mashaka kama atakuja kuoa maana ashajivika kovu la 'mapenzi/ndoa ni maumivu tu'
.................... Mbu hebu njoo PM huku tudiscuss hii delicate issue aliyoiraise Mzee DC, Nyani Ngabu na Klorokwini. Inawezaikawa inalipa ujue lol
AD unasema?!!
aisee acha tu,...nimeng'atwa na mbung'o huko katika harakati za kumfurahisha madame, and it worth every penny aisee....nasubiria maumivu yakizidi nikamuone dakitari, otherwise, the retreat was excellent na madam hakuwa yule mwenye gubu la 'tunaharibu hela....!' yeye ni smiles tu...aisee maisha haya ni raha sana bana...
you only live once....kujipendelea muhimu!
long tym bro, kwema?
Hahahaha!! Lol Mjukuu haukopeshi hata sekunde mojaAD huyu The finest hana lolote anasingizia tu machungu anataka tuamini hajawahipewa raha hata siku moja akajisikia yeye ni special?! hata ile ya kuitikiwa yes honey!! jamani jamani tujifunze kuappreciate. We The Finest unataka nikulipua hapa jamvini? siku ile pale umekuja mwenyewe wapapaswa kitambi chako mbele ya watu unakenua hadi gego hukujisikia special?!! mwone vile ntasema mimi!
There you are i would also like to hear from you cousin your (Special Romantic Moments)na nananaaaana, na nananaaaaana.....
I can see swahiba full of life mazee.....
MTM Likes this Mbu happiness
Tatizo lako ni lile lile la mtaka yote.... Hebu mcheki GY tukapate Lunch pale port view mkuuKumbe ndo maana juzi nlikupigia simu ukasusa kupokea.
Sikujua kama simu huwa hazipokelewi kwenye Special Romantic Moments.
Ntakuchapa!