Special Romantic Moments......

Special Romantic Moments......

......lol.......... Just part of Alias....
Now i know lol!!! Ngoja ODM aamke kutoka kitandani naona bado atakuwa anatafakari akisema Special Romantic Moment yake utacheka mpaka basi ngoja tusubiri ake mwenyewe lol!!!
 
Mzee DC una case na King'asti kuhusu wish yako... She is so MAD at you.... (sorry offtopic... SIRUDII TENA....), itabidi ujitetee...

Mhhhhh, makubwa haya tena ADii,

Hivi feelings za watu zinaweza kukatiwa rufaa kwa jaji???
 
Now i know lol!!! Ngoja ODM aamke kutoka kitandani naona bado atakuwa anatafakari akisema Special Romantic Moment yake utacheka mpaka basi ngoja tusubiri ake mwenyewe lol!!!

ha ha ha... yaani this week mie ni mkosaji tu! Nina case na ODM... nimetenda dhambi ambao alionya nisitende.... Naona ni log out, maana mida yake hii....
 
Kweli kabisa....Naamini huyo Mungu ndiye alikuwa driver wenu, na malaika walikuwa mabaunsa....Na Yesu alikuwa.....Mhhhh

Nitarudi baadaye kidogo bro...

Ngoja nikamtafute bibi twende kuhiji kwenye kile kichuguu tulipokuwa tukutana enzi za ujana wetu.....Nahisi kumwaga machozi....Bye bye!!

...haahhhaahha....lol...! ni machozi ya huzuni au furaha?

Hivo Mbu umedhihirisha theory yangu....lol... kwamba rules can be broken because of her... Hivo furaha yangu ya kuona theory yangu haikuenda bure...

...hhhaahha...AshaDii wanipa rahaaaa...!
 
Mhhhhh, makubwa haya tena ADii,

Hivi feelings za watu zinaweza kukatiwa rufaa kwa jaji???

hapo kakangu naona nisiingilie saaana....
Hilo swali lamfaa King...

Kwa hisan ya MJ1 na Mbu... naona niku PM jibu....lol.. maana tutabadilisha topic.
 
ha ha ha... yaani this week mie ni mkosaji tu! Nina case na ODM... nimetenda dhambi ambao alionya nisitende.... Naona ni log out, maana mida yake hii....

Ukifanikiwa nitumie PM na mimi nijaribu, mwenzio niko njia panda,

Napata shinda kama kile kisa cha..."tumbo niache nimwachie manenge uji"....Kama hujawahisikia basi pole!!
 
Ukiona hivo ina maana alokupa hio speacial romantic moment as much as hampo woote... You have not let go..... Pole PA.... Ila naomba utaje, ni ipi hasa mpaka inakufanya iumee kiasi hicho... (alafu MJ1 na Mbu dawa yao ipo jikoni... Hizi topic zao hizi....)
AD huyu The finest hana lolote anasingizia tu machungu anataka tuamini hajawahipewa raha hata siku moja akajisikia yeye ni special?! hata ile ya kuitikiwa yes honey!! jamani jamani tujifunze kuappreciate. We The Finest unataka nikulipua hapa jamvini? siku ile pale umekuja mwenyewe wapapaswa kitambi chako mbele ya watu unakenua hadi gego hukujisikia special?!! mwone vile ntasema mimi!

Unajibu kwa lisauti la kizee zee,

Ehhh, ehhhh...kweli malaika wangu na mungu wangu wa hapa kwa duniani!!!!!!??????.....Basi kesho nitaongeza dozi!!!!

Is that not romantic!!!!!

Hahahah Babu DC umenichekesha mbele ya Mpenz anabaki anashangaa hapa!! It is romantic Babu kweli kabisa hahahahahaha. Halafu leo nahisi kama wewe na Klorokwin mnatumia PC moja maana hata nashindwa kujua ni wewe au lah!!

Mhhhh...wewe ni mkali sana wa kueleza mambo kwa ufasaha...Kama ungekuwa na darasa, lazima ningekuwa mwanafunzi wako siku moja!!

Hivi baada ya maelezo kama haya.....na kama ni kweli na wengi tunaona hivi....Kwa nini tusikimbie kumwita shekh akawahi na ubani wake ili maandiko yatimie????

Hatuwatendei haki wenzetu!!!
...........................Hii post inanipa hints!! sijui nifanye kweli?! mbona mnanitafutia kesi lakini enyi watwana?

Hawa MJ1 na MBU wanapenda kweli kufungua nyaraka za Serikali lol!!! PA yaani ni machungu kwenda mbele huwa sipendi hata kuikumbuka halafu huyu MJ1 huyu ngoja nimsake alipo lazima anilipe fidia kwa topic hii aliyoleta lol!!!
Niendelee kusema?!

PA ama umenikwepa! Kweli inaelekea ni machungu hasa..... Ukimpata nishtue...lol... Mie nataka kumpongeza...

@MJ1 Tafadhali Baada ya hii thread tafadhali leta ya Machungu.... Tuone what members watasema... walau hata PA hapa asikose la kusema.....
.................... Hahaha na ukiileta atakujibu siwezikuchangia kwani nitaharibu siku yangu kwa kukumbukia machungu loh!! anaruka tu vihunzi huyu!!
Anantia mashaka kama atakuja kuoa maana ashajivika kovu la 'mapenzi/ndoa ni maumivu tu'

....lol....niachieni Soulmate wangu jamani, khaaaa? hahahah...mbu yupo likizo AshaDii...
nimejitokeza 'kumpa shavu' mwanajamiione hapa kwa useful sredi 'ake hapa.

.................... Mbu hebu njoo PM huku tudiscuss hii delicate issue aliyoiraise Mzee DC, Nyani Ngabu na Klorokwini. Inawezaikawa inalipa ujue lol

Ukisikia kujitetea logically ndio hii hapa....lol

AD unasema?!!
 
...haahhhaahha....lol...! ni machozi ya
huzuni au furaha?

...hhhaahha...AshaDii wanipa rahaaaa...!

Huzuni kwa sababu meno yameisha mdomoni wakati nyama bado naitamani, na furaha kwa sababu kilikuwa kipindi cha safari za kwenda kumsalimia Mungu na kupigiwa makofi na malaika karibia kila siku!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hapo kakangu naona nisiingilie saaana....
Hilo swali lamfaa King...

Kwa hisan ya MJ1 na Mbu... naona niku PM jibu....lol.. maana tutabadilisha topic.

Karibu sana ndugu yangu.....Naamini utakuwa bado hujaondoka mtandaoni!
 
Ukifanikiwa nitumie PM na mimi nijaribu, mwenzio niko njia panda,

Napata shinda kama kile kisa cha..."tumbo niache nimwachie manenge uji"....Kama hujawahisikia basi pole!!

aaaiiseee!! Naona PM haitoshi.... Dah... Nakuja leo huko nyumbani tuonane wewe na Mama DC pia.... I am Out!
 
ha ha ha... yaani this week mie ni mkosaji tu! Nina case na ODM... nimetenda dhambi ambao alionya nisitende.... Naona ni log out, maana mida yake hii....

...Aspirin? haahha ha kumbe anaogopewa kama ukoma ee?
haya, nami na log out sasa...watoto karibia wataamka kuja kuichakachua hii useful sredi
ya mwanajamiione,...

nawaaga na msemo ; I had the best romantic retreat ever!....

natarajia mzee mkullo kwenye bajeti yake ijayo atakuwa makini zaidi kwenye
udhibiti wa mfumuko wa bei ya petroli na dizeli ili mimi na soulmate tuongeze
siku za kupendana zaidina zaidi kwenye next adventures za
kujipendelea ni muhimu.
 
AD huyu The finest hana lolote anasingizia tu machungu anataka tuamini hajawahipewa raha hata siku moja akajisikia yeye ni special?! hata ile ya kuitikiwa yes honey!! jamani jamani tujifunze kuappreciate. We The Finest unataka nikulipua hapa jamvini? siku ile pale umekuja mwenyewe wapapaswa kitambi chako mbele ya watu unakenua hadi gego hukujisikia special?!! mwone vile ntasema mimi!

Hahahah Babu DC umenichekesha mbele ya Mpenz anabaki anashangaa hapa!! It is romantic Babu kweli kabisa hahahahahaha. Halafu leo nahisi kama wewe na Klorokwin mnatumia PC moja maana hata nashindwa kujua ni wewe au lah!!

...........................Hii post inanipa hints!! sijui nifanye kweli?! mbona mnanitafutia kesi lakini enyi watwana?

Niendelee kusema?!

.................... Hahaha na ukiileta atakujibu siwezikuchangia kwani nitaharibu siku yangu kwa kukumbukia machungu loh!! anaruka tu vihunzi huyu!!
Anantia mashaka kama atakuja kuoa maana ashajivika kovu la 'mapenzi/ndoa ni maumivu tu'

.................... Mbu hebu njoo PM huku tudiscuss hii delicate issue aliyoiraise Mzee DC, Nyani Ngabu na Klorokwini. Inawezaikawa inalipa ujue lol

AD unasema?!!

Ngoja nimkumbuke mwalimu wangu wa STD 1....
Aiya iyaaaaaaaaaaa kipepeo oooo kipepeo x 3 (au hata mara kumi huku mmeshika viuno)

Mweee...mtu unaweza kwenda kutafuta mashine ya kung'olea mvi!!
 
aisee acha tu,...nimeng'atwa na mbung'o huko katika harakati za kumfurahisha madame, and it worth every penny aisee....nasubiria maumivu yakizidi nikamuone dakitari, otherwise, the retreat
was excellent na madam hakuwa yule mwenye gubu la 'tunaharibu hela....!' yeye ni smiles tu...aisee maisha haya ni raha sana bana...
you only live once....kujipendelea muhimu!

long tym bro, kwema?

na nananaaaana, na nananaaaaana.....

I can see swahiba full of life mazee.....

MTM Likes this Mbu happiness
 
AD huyu The finest hana lolote anasingizia tu machungu anataka tuamini hajawahipewa raha hata siku moja akajisikia yeye ni special?! hata ile ya kuitikiwa yes honey!! jamani jamani tujifunze kuappreciate. We The Finest unataka nikulipua hapa jamvini? siku ile pale umekuja mwenyewe wapapaswa kitambi chako mbele ya watu unakenua hadi gego hukujisikia special?!! mwone vile ntasema mimi!
Hahahaha!! Lol Mjukuu haukopeshi hata sekunde moja
 
Cousin, there is no better life moment than a special moment.... I DONT KNOW WHERE TO START, BUT THEY SAY YULE MWENYE SPIKES NDIO HULA TAMU YA WOTE, YAANI YULE MWENYE MACHUNGU NA MATAMU YA MAPENZI, AU YULE MWENYE EXTREME ENDS ZA MAHUSIANO... WELL, I AM ONE OF THEM

As i write this one, ni full smile on very best memories mazee.... ngoja niangalie nianze na ipi, ile crazy sexy cool, au cool daddy, au diplomatic pretender

Back to MJ1, the best way to express your appreciation is be yourself, support the mood and always remind your loved one about those special moments, huwa tunakosea kwa kukumbuka mabaya tu!!!
 
Kumbe ndo maana juzi nlikupigia simu ukasusa kupokea.

Sikujua kama simu huwa hazipokelewi kwenye Special Romantic Moments.

Ntakuchapa!
Tatizo lako ni lile lile la mtaka yote.... Hebu mcheki GY tukapate Lunch pale port view mkuu
 
Back
Top Bottom