Special Romantic Moments......

Special Romantic Moments......

hahaha Mbona Kloro haonekani au ndo kesha ingia PM? anavunja sheria za "fair Competition" huyu! Anshangaza kweli ..lol
Ngoja nami nizamie huko chemba....mpaka kieleweke....... anchekesha kwli LOL
 
Nakumbuka kabla sijajiunga, nilikuwa nasoma posts za huyu mkuu...amepotelea wapi???

Bila kuwasahau Mama na Bi. Senti 50.

Kuna wakati Mwafrika wa Kike alikuwa na beef na Bi. Senti 50....palikuwa patamu sana.
 
Na kuna huyu Ziondaughter.........sijui kaishia wapi? Anshangaza kweli
 
Yeah na binti mmoja hivi anaitwa cheusimangala...sijui naye yuko wapi?
Cheusi yupo! Juzi tu hapa kaja kutuhabarisha kua kavishwa pete baada ya maombi makubwa!
Vp kiongozi ulikua una hisa nini?
 
Sredi ya MJ1 na Mbu na DC huwa hazichakachuliwi..........nani kakuambia tumeichakachua? Wanchekesha LOL

Kale kabatani ka LIKE naona kamegongwa kwenye hii sredi mpaka kamepata kizunguzungu...kamepotea. Inabidi tukape asprini kapunguze makali ya maumivu.
 
Cheusi yupo! Juzi tu hapa kaja kutuhabarisha kua kavishwa pete baada ya maombi makubwa!
Vp kiongozi ulikua una hisa nini?

Hapan mkuu...Mimi wangu humu anajulikana....Nyamayao. Na mpaka sasa sijamwona hapa kuja ku-share SRM zetu pamoja! Ananshangaza!
 
Kale kabatani ka LIKE naona kamegongwa kwenye hii sredi mpaka kamepata kizunguzungu...kamepotea. Inabidi tukape asprini kapunguze makali ya maumivu.
Nshakugongea, hako ukikapata kamoja ni sawa na kumeza aspirin 2X3..........
 
Back
Top Bottom