Special Romantic Moments......

Special Romantic Moments......

Kupenda mtu sio crime, no need to be ashame of, au vp wajameni, just be happy

...umeona ee?...heri wewe umesema. Hapa ndipo nilipokuwapo day3 mchana na soulmate wangu...

seroneralodge_clip_image002_0003.jpg



...a romantic retreat ambayo kiukweli kuwa naye tu alinifanya nijiskie so special...
natafuta neno gani la kumshukuru kunikubalia mwaliko wangu, neno 'mbado' sijalipata...
 
Wapendwa wanaJF

Ni matumaini yangu wote mu wazima. Nimewamiss sana wote.

Kwa mara nyingine tena ninawaomba tushee pamoja baadhi ya kumbukumbu (memories) ambazo tulishawahi kuzipitia kwenye maisha yetu ya mahusiano. Ninaelewa wengi mlishazipitia zile 'Romantic Moments" ambazo zilikufanya ujisikie kuwa wewe ni A VERY SPECIAL PERSON katika maisha ya huyo alokupa hiyo great romantic moment. Najiuliza tu

Je unaonyeshaje kuwa umeridhika, umefurahia na unamshukuru vipi kwa kukupatia nafasi hiyo au tunachukulia tu ni jukumu lake kukupa good times kwa kuwa tu u her/his chosen one? How do you show your appreciation?

Lakini MJ kiukweli kabisa, kwakuwa great moments are felt not seen, na kwakuwa Special Romantic Moments are also felt not seen....
Sasa basi mimi Special Romantic Moment ni kipindi hiki ambacho tumekuwa na mgao wa umeme..yaani napata raha hata nikipewa karaha, mida ile ya giza....and this is a Special Serious Moment!
 
Na hiyo avatar,sijui ni picha yake, nzuri sana
Yep ni picha yake, tena inasemekana hapo ndo alikuwa hawajaweka mapoda. hehehe akiweka mapoda lazima tuwape talaka wake zetu aisee!
 
Lakini MJ kiukweli kabisa, kwakuwa great moments are felt not seen, na kwakuwa Special Romantic Moments are also felt not seen....
Sasa basi mimi Special Romantic Moment ni kipindi hiki ambacho tumekuwa na mgao wa umeme..yaani napata raha hata nikipewa karaha, mida ile ya giza....and this is a Special Serious Moment!

Kamanda hili sred si limeshafungwa au Part 2 tayari imeanza?
 
HITIMISHO!

Kwanza kabisa ninaomba kuwashukuru wooote mliochangia hii thread na kushare nami experiences zenu za Special Romantic Moments. Shukrani za pekee zimwendee Mheshimiwa Mbu kwa kufanya jitihada za ziada kutuletea picha ambazo ninaamini kabisa zitatuhamasisha kuwapa wenzi wetu some special romantic moments once in a while. Kwa wote ninawapa BIG UP and a very HUUUUUGE Hug as a way of appreciating.

Kwa kifupi picha niliyoipata hapa ni kuwa wote hapa ambao tumeshawahi kuwa na mahusiano katika maisha yetu tulishapatiwa/patia wenzi wetu hizi SRMs na tukaenjoy vya kutosha na wapo ambao mpaka leo tukijaribu kuzivuta hisia na kumbukumu zetu tutajikuta tunatabasamu kwa furaha wengine hujikuta tunasisimkwa kabisa na vinyweleo kusimama ati. So ni wazi kuwa relationship yoyote hata kama iliisha, iko katika machungu kwa wakati huu bado kuna that bright spot kwenye hilo wingu jeusi. Hata shetani naye huwa kuna siku anajisahau na kuwa malaika wajameni sema tu tunapokumbwa na maumivu, maudhi na kero huwa tunayasahau mema, mazuri yooote tuliyowahikufanyiwa na huyu muhusika.

Ninamshukuru MTM kwa kuchomekea kipengele cha Communication ambacho kwa bahati mbaya hatukupata nafasi kukichambua vizuri lakini kipengele hiki ndicho kiini kikubwa katika kufikisha jumbe zetu kwa wenzi wetu. Wengi tunashindwa ku'zungumza' kuonyesha jinsi tunavyoappreciate pale tunapofanywa watu muhimu (special) kwenye maisha ya wenzi wetu. MWJ1 hapa nimeuliza kiutani jinsi ya kushukuru lakini kiukweli huwa ninapatwa na 'kigugumizi' cha ukubwa sijui kabisa kuappreciate and that is my weakness to tell the truth and kama MTM alivyosema sometimes hadi nabore maana kama ni 'Thanx darling' ntairudia hadi naonaga aibu!

Failure to communicate your feelings kwa mwenzi wako ambaye anapaswa kuwa rafiki yako huchangia mara nyingi kwa mahusiano kuzorota na mwisho kufa na aither kuwafanya wapendanao waachane au waishi maisha ya 'mazoea'. Imagine kama MWJ1 nashindwa kuappreciate kwa kilicho kizuri je nitaweza kweli kuzielezea hisia zangu nikaeleweka kama nimekwazika/boreka au amenihurt?? (Kwa hili ninaomba msaada, kama kuna mtu anayefundisha twisheni ya hili somo tafadhani aniPM aniokoe).

Kitu kingine ambacho nimekinote kwenye trhread hii ni kuwa watoaji wengi wa SRM ni wanaume!! wanawake wengi tu wapokeaji tu (Unless tuhesabu na zile za 'faragha' ambazo nadhani hata wanaume watahusika). Wengi wetu kina dada tumekuwa (kutokana na jinsi tulivyochangia humu) tukisubiri kupewa!. Jamani tuamke, spice up your relationships, siku moja moja mtoe 'Rais wa Dunia yako" mpeleke mafichoni, ambako utamrusha ujisikiavyo. Ndio usawa wenyewe huo (Tatizo walioenda Beijing mwaka ule waliwasahau kina Bi Chau otherwise hii ingewekwa agenda ya kwanza kabisa LOL). Tusidai usawa wetu kwenye elimu, uchumi, kazi, siasa peke yake tukaisahau sekta hii ambayo ndiyo sekta mama kwa maisha yetu - matajiri, wasomi, wachumi, wanasiasa wote wanatokana na sekta hii, wanakuzwa hapa na wanarelease stresses zao hapa kwa hivyo tusiisahau jamani hata kama ni sekta isiyo rasmi!!

Mwisho ninapenda kuwashukuru wale woooote mnaowatakia mema Mbu na MWJ1 lol. I wish wishes zenu zingewezekanika. But msikate tamaa tuombeeni huku tulikoshikwa tuachiwe hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa

Ninawapenda wote. Mbarikiwe sana.
Msisahau kuwashukuru wapenzi wenu pale mnapopewa Special Romantic Moments jamani.

This Thread has been CLOSED at 6:50 PM (Kwa majira ya saa ya Tanzania).

Unajua hapa JF mimi ni memba pekee ambae siongei vitu bila ushahidi. mkuu sibitisha mwenyewe hapo juu.
Lakini imefungwa mada tu, offu topik zinaruhusiwa.

Heh! Imefungwa lini asee..??
 
enough jamani

na wengine muwe wawazi na soulmate zenu....lol
 
Hivi mmefikia huku!lol aksante mwaya Mbu kwa kuliweka wazi. Naona umewaburudisha wapenzi wetu ambao mimi ninajisikia faraja kwa kujua mema wanayoniombea.

Nawapenda wote.(Hii ni Out of topic)
 
Hivi mmefikia huku!lol aksante mwaya Mbu kwa kuliweka wazi. Naona umewaburudisha wapenzi wetu ambao mimi ninajisikia faraja kwa kujua mema wanayoniombea.

Nawapenda wote.(Hii ni Out of topic)

...mbu loves you pia mwanajamiione,...haya...sredi na ifungwe sasa...lol.
 
@nyani... ahsante sana kwa ukaribisho wako, hope tutajuana vema mbeleni, @ klorokwini jamani mbona unasema mie stranger? sing'ati bwana,... @ kimei ahsante kwa like ya kwanza nilistuka kupata , nimezoea fb

Kabla hamjafunga Sredi, ODM anaomba SaraM ampe ID yake ya kule Fesibuku. Hii ni kwa maslahi ya chama.

Mwenyekiti naomba unilinde.

Sredi Imefunguliwa Upya!
 
Kabla hamjafunga Sredi, ODM anaomba SaraM ampe ID yake ya kule Fesibuku. Hii ni kwa maslahi ya chama.

Mwenyekiti naomba unilinde.

Sredi Imefunguliwa Upya!

Orait go DOM go....
 
Hivi mmefikia huku!lol aksante mwaya Mbu kwa kuliweka wazi. Naona umewaburudisha wapenzi wetu ambao mimi ninajisikia faraja kwa kujua mema wanayoniombea.

Nawapenda wote.(Hii ni Out of topic)

Hivi napataje zile smileys za kuhug hapa?
 
Orait go DOM go....
Hommie hiyo Red hapo.........Ni mtego au ndo natakiwa kutimiza ahadi za mnadani?

Aisee ngoja nimPM SaraM afu matokeo ntakutumia mheshimiwa mwenyekiti........... Idumu SRM!
 
Back
Top Bottom