xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,910
Tupo pamoja #teamArgentina kombe la dunia lilitupita kidogo..........
mashabiki wa messi naona mnajifariji, kumbukeni dunga karudi na ndie m baya wenu,
dunga amekua akiwasumbua argentina kwa muda mrefu, ombeni msikutane nae, unakumbuka fainal 2007 (venezuela kama sikosei) argentina inalala 3-0, argentina yakina riquelme, veron, aimar, cambiasso, messi na tevez, wakati stricking force ya brazili ikiwa na julio baptista, robinho na vagner.
dk 4 julio baptista, dk 40 alves kichaa akitokea sub kapiga fataki Ayala kadeflect kitu wavuni, dk 69 Alves tena kamaliza mchezo mwisho wa siku ubao ukasomeka 3-0, mara ya pili mfululizo brazili anampokonya kombe argentina.
ombeni msikutane na #teambrazil