Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Argentina KAKA MKUU ni Di Maria alafu uyu Messi ni kiranja wa nidhamu teheeee teheee ni ukweli mchungu ila hakuna namna alivyotoka El Fideo nikaona ndoo kwa mbali,baada ya leo Argentina wasahau kuchukua ndoo hiki kilikua kizazi chao cha dhahabu.
 
everlenk
 
Last edited by a moderator:
Leo ni machozi tu kwa Argentina...

Kila mchezaji kagubikwa na huzuni...
 
Back
Top Bottom