Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleeeee baby in 2018 World Cup and 2019 COPA America utashinda makombe yote haya kwa raha zako. Nawe ukipenda unapenda jumla jumla hubakishi hata kiduchu.
Chile deserved to with this match
![]()
japo atachukua vidal ila jamaa yetu ni moto.Angalau wewe umekuja na something positive. .....
Argentina wameonyesha utoto na upuuzi wa hali ya juu. Wameondoka kabla mshindi hajakabidhiwa kikombe chake, si uanamichezo huu. Hapa ndio nahodha mwenye hekima anapohitajika.
Ndoto zako zinaposhindwa kutimia huwa ngumu kuvumilia......
lakini Argentina si alikuwa mchepuko tu?Ndoto zako zinaposhindwa kutimia huwa ngumu kuvumilia......
Najiweka tayari kiakili najua tumekucheka shambani na wewe utatucheka sokoni kwenye balon d or
lakini Argentina si alikuwa mchepuko tu?
Messi family attacked during first half.. pole sana kirikuu, kombe umekosa na familia yako wameishambulia, too painful
Leo ndo nimejua nampenda Argentina kiasi gani, Brazil hata hakuniuma kabisa......yaani hapa ndo najistukia nilikuwa nimeset nywele zangu vizuri tayar kwa kesho eeebana nimezivuruga haswaaa! !!! Kumbe nilikuwa nakuna kichwa balaa wakati wa mechi