Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

copa-america-final-santiago_17ebftb3sw26g1opw7bxwyvspt.jpg
 
Ngoja miye nilale zangu mmeshindwa kunitibu humu ndani.............Muwe na usiku mwema wapendwa wangu wale ambao ni mchana kwao muwe na wakati Mwema. ..........ntawamisije!!!! Dah!! Mwezi wa nane mbali tukutane tena kwenye vilabu vyetu......... love you all....[/QUOTeverle

Samahani, hivi everLenk ni ke au me? Kwa mujibu wa post za humu inaonekana kama ni ke! Lakini kwa mujibu wa unavyoonekana kukomaa na mipira humu ndani unaonyesha kuwa ni me! Napata wasiwasi kuwa huenda ni me lakini ame -"impersonate ke"! Napata shida ni ke sampuli ipi hapa bongo anayekomaa kwenye kandanda mpaka usiku wa manane? Kama kweli ni ke nampongeza sana SHEMEJI yetu, anastahili tuzo ya mume mvumilivu, maana mechi nyingi zinapigwa usiku sasa sijui HUDUMA sitahiki inakuwaje? Kama everlenk bado ni kapera hapo inaeleweka walau kidogo!
Kama kweli everlenk ni ke unastahili tuzo pia, utakuwa ni msichana/mama/bibi (whatever is applicable) wa ajabu sana! I salute you! really! once more I salute you!
Ila kama ni me under ke-impersonation, hapo utakuwa umewapromote sana ke, inabidi wakupe zawadi, ila me utakuwa hujawatendea haki!

Samahani sana everlenk kama nitakuwa nimekukwaza, sina nia ya kukwaza ila kukupongeza!

Hahaha!!! Usijali mbingunikwetu hujanikwaza na sitakaa nikwazike, Mimi ni mwanamke kabisa tena niko married, siwezi jifananishe na me Sababu nafurahi zaidi kwa muumba kuniumba mwanamke,am very proudly to be a woman.

Katika Maisha kila mtu ana starehe yake, katika yote starehe yangu kubwa ni Mpira wa miguu, ni kiasi tu cha kupanga ratiba, nashukuru Mungu starehe yangu hii haijawahi kuwa kikwazo kwa mwenzangu au kwa yoyote Yule ndani ya familia yangu japo tumetofautiana na mwenzangu kimtazamo starehe yake ni muziki zaidi tena wa Ngwasuma live, Najivunia yeye Sababu ni mume mzuri anajua kumpatia mkewe vile vinavyomfurahisha na haijawahi tokea mpira kuwa sababu ya kunyimwa haki zake zote za msingi, ni ratiba tu,kila jambo na wakati wake,kama kazi ni kazi kweli, kama starehe starehe kweli, kama mapumziko ni kupumzika kweli etc
 
Last edited by a moderator:

Too humble u know..
 
Last edited by a moderator:
wapiga penati wote waliokosa wa brazil na argentina wote walikuwa ni wachezaji walioingia uwanjani(substitutes).kuna mtu aligundua hili??
 
Back
Top Bottom