Higuain kama kawaida yake
Haya bana mcheza kwao hutuzwaa!!!!
Papupi Non-Shatter kausheni basi mtakuwa hamli mema ya nchi shaur yenu?
I told uuuuuu.. kama kaka ameondoka naomba nije nikubembeleze katika kipindi hichi kigumu
dah, namuonea huruma messi makombe yote yanamponyoka.
Come n hug me please.....am dying yoooo!!!!
everlenkArgentina KAKA MKUU ni Di Maria alafu uyu Messi ni kiranja wa nidhamu teheeee teheee ni ukweli mchungu ila hakuna namna alivyotoka El Fideo nikaona ndoo kwa mbali,baada ya leo Argentina wasahau kuchukua ndoo hiki kilikua kizazi chao cha dhahabu.
I'm right here mama, cry it all out.