Special thread: EACOP updates

Wabongo huwa mna kizungu mbovu.

That is the only thing that timu roho chawi can see.
Naombeni sana, we don't like & entertain ligi in this thread. It's only updates which are needed. Mambo ya ligi, go to battlefield thread.
 
Tulizana Wabongo tunufaike na Miradi ya Maana, nyie endeleeni kulipa Madeni ya Mchina yasoisha [emoji23]

ichoboy01 anakutafuta Ukajibu hoja zake kule [emoji1][emoji1][emoji1]

Bro wachawi utawajua tu. Yaani ungejua hii project inavyowauma na kuugua.
🀣🀣🀣
Ona sasa anavyotuharibia uzi.
 
That is the only thing that timu roho chawi can see.
Naombeni sana, we don't like & entertain ligi in this thread. It's only updates which are needed. Mambo ya ligi, go to battlefield thread.
Unaringa na mradi ambao utakamilika mwaka wa 2026?
 
For Tilenga fields in Uganda, ENGINEERING, PROCUREMEBT CONSTRUCRION AND COMMISSIOMING -EPCC contract was awarded to Mcmortte UK. EACOP contract ( pipeline construcrion) is expected to be awarded to WORLEY UK- not confirmed yet but the company was shortlisted by Total in 2018.
 
Thanks for the update boss.
 
its a $10 billion project lazima iwaume. TZ will get $12.7 per barrel and more than 200,000 barrels of oil will be transported per day. just imagine 12.7Γ—200000 Tz itapata kwa siku.

Huyu jamaa Tony254 anaugua sana kuona kila uchao EACOP ni faya. Hizo namba $12.7Γ—b200,000/- = $2,540,000/- per day inawauma sana mioyoni mwao. Mpaka wanataka kuingia kwenye ⚰⚰⚰.
 
Huyu jamaa Tony254 anaugua sana kuona kila uchao EACOP ni faya. Hizo namba $12.7Γ—b200,000/- = $2,540,000/- per day inawauma sana mioyoni mwao. Mpaka wanataka kuingia kwenye [emoji1019][emoji1019][emoji1019].
hahah, hapo hujaongelea our 15% share, employment and our ports will be very busy. This is a mega project chief. hiyo $ 2.5 ni sawa na tsh 5.3 bil, maana yake tuna uwezo wa kujenga km 5 za barabara ya lami kila siku au km 150 za lami kila mwezi. Na mpaka mafuta yaishe ni miaka 30. inakisiwa kuwa Uganda wana proved reserve of 6 billion barrels mpaka sasa kwenye visima vyao. Now I understand why Kenyatta went to France to meet Serkozy ( former French president).
 
Yajayo yanafurahisha. Maana hapo Uganda tumemuweka sawa. Pia South Sudan na Congo wanaimezea mate njia ya Chongoleani Tanga. Mambo yanazidi kuwa mambo kwenye katika uwanja wa mambo.
πŸ˜πŸ˜€πŸ€£
 
its a $10 billion project lazima iwaume. TZ will get $12.7 per barrel and more than 200,000 barrels of oil will be transported per day. just imagine 12.7Γ—200000 Tz itapata kwa siku.
TZ will get just around $600 million per year. Sio pesa nyingi sana. Total ndio watafaidika sana wakifuatiwa na Uganda.
 
TZ will get just around $600 million per year. Sio pesa nyingi sana. Total ndio watafaidika sana wakifuatiwa na Uganda.
$600mm unasema sio pesa nyingi, by just renting your land. hapo unaweza jenga barabara ya lami km 1000. Distance from Mombasa to Mandera na pesa inabaki.
 
$600mm unasema sio pesa nyingi, by just renting your land. hapo unaweza jenga barabara ya lami km 1000. Distance from Mombasa to Mandera na pesa inabaki.

Unaona huyu jamaa Tony254 anavyoteseka. Mpaka anasema $600m siyo nyingi. Nyingi ni kiasi gani na chache ni zipi!!?
Ukiona hivi, ujue dawa imepenya sawa sawa.
🀣🀣🀣
 
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜€
Kwa taarifa yako, FDI imeshaanza kumiminika katika nchi hizo.
Kwanza kuna petroleum law ambayo parliament ya UG na TZ lazima zipitishe ili ujenzi uanze. Tuliza boli mambo bado.
 
TZ will get just around $600 million per year. Sio pesa nyingi sana. Total ndio watafaidika sana wakifuatiwa na Uganda.

Nyie endeleeni kubeba tumafuta twenu na malori.
 
Kwanza kuna petroleum law ambayo parliament ya UG na TZ lazima zipitishe ili ujenzi uanze. Tuliza boli mambo bado.
hivi wewe jamaa upo sawa upstairs kweli. Tz wana petroleum act ya 2015, matangazo ya tender kila siku yanatoka kwenye website ya Eacop. juzi MCDERMOTTE of UK wamrpewa tender na washaanza kazi za Engineering and Procurement, angalia juu huko nilituma hiyo tender award doc last week. Kenyam jounalists wanawadanganya.
 
Kwa hivyo wewe unajua zaidi kushinda PS petroleum wa Uganda? Punguza mihemko. Ninajua ninachozungumzia bwana. Mimi huwa sikurupuki kama wewe.
 
Huyu jamaa Tony254 is head of bad wishers timu. Unaona anavyoumia kwa kuongea uongo!!!?
Hapo muulize ushahidi wa hayo anayoongea.
 
Kwa hivyo wewe unajua zaidi kushinda PS petroleum wa Uganda? Punguza mihemko. Ninajua ninachozungumzia bwana. Mimi huwa sikurupuki kama wewe.

Si uweke hapa ushahidi wa kile unachokifahamu?

Umeanza kwa kusema hela ni kiduchu. Ukajibiwa, sasa umeanza na ndoto nyingine.

Geza Ulole njoo umchukue huyu mtu wako. Ameacha kushangilia bajeti yao kubwa anakuja huku kutuvuruga. 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…