Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wabongo huwa mna kizungu mbovu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wabongo huwa mna kizungu mbovu.
$600 million? hesabu zipi hizo? $12.77*216,000 barrel * 366 days = $1,009,545,120 kama transport fee! Hapo hujaongelea viwanda vinavyojengwa na pia calling port charges for the crude oil tankers at Chongoleani port! $1,009,545,120 ni malipo ya chai kwa Kenya!! What is Kunyaland getting?TZ will get just around $600 million per year. Sio pesa nyingi sana. Total ndio watafaidika sana wakifuatiwa na Uganda.
$600 million? hesabu zipi hizo? $12.77*216,000 barrel * 366 days = $1,009,545,120 kama transport fee! Hapo hujaongelea viwanda vinavyojengwa na pia calling port charges for the crude oil tankers at Chongoleani port! $1,009,545,120 ni malipo ya chai kwa Kenya!! What is Kunyaland getting?
Sawa wezi.$600 million? hesabu zipi hizo? $12.77*216,000 barrel * 366 days = $1,009,545,120 kama transport fee! Hapo hujaongelea viwanda vinavyojengwa na pia calling port charges for the crude oil tankers at Chongoleani port! $1,009,545,120 ni malipo ya chai kwa Kenya!! What is Kunyaland getting?
Mwizi na Jambazi kuu ni Kunyatta!Sawa wezi.
Na uchumi mkubwa pia. Usisahau hilo.Lkn mbona unaugua sana!!?
Wewe si unatoka nchi yenye bajeti kubwa Afrika mashariki.
🤣🤣🤣
Wacha kwenda **** vichakani wewe! Uchumi mkubwa wakati unakopa ku-finance budget!Na uchumi mkubwa pia. Usisahau hilo.
weka hiyo source hapa. contects muhimu zote zimesainiwa, SHA, TTA, HGA. Kama unasema lazima act ndio kazi ianze, mbona MCDEMORTTE washapewa tender?Kwa hivyo wewe unajua zaidi kushinda PS petroleum wa Uganda? Punguza mihemko. Ninajua ninachozungumzia bwana. Mimi huwa sikurupuki kama wewe.
hawezi kuweka, anaona watu wavivu kama yeye.Akiweka source uni tag.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mwambie asome hiyo speech kwanza. imeeza wazi kabisa kila kitu baada ya signingsView attachment 1817878
akisoma hiyo speech hapo haongei tena mambo ya petroleum actHuyu jamaa Tony254 wivu ndiyo unao muua. Haelewi kitu, yeye ni kupinga tu.
hahaha, akija nitagNgoja nimwite huyu jamaa Tony254 njoo uone speech ya waziri huku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]