Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Good video
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tony hana lolote mkwara tu. EPCM tender award ya TZ mi nimeshajua anapewa nani. document ni confidential siwezi weka hapa.Tony bana, unataka kusema wewe na french wewe ni zaidi!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taja hizo kampuni zitakazopata tender. Ili tender zitakapotolewa tulinganishe ili tujue kama wewe ni mwamba au la.tony hana lolote mkwara tu. EPCM tender award ya TZ mi nimeshajua anapewa nani. document ni confidential siwezi weka hapa.
hana uwezo huoNa wewe Tony254 Tupe ya kwako.
Mh. Waziri wa Nishati awaagiza TPDC kuanza mara moja ujenzi wa bomba la mafuta la EACOP. Amezungumza hayo akiwa jijini Tanga kwenye kikao cha wadau.
Kwa taarifa zaidi tazama taarifa hiyo kuanzia dk 1:20.
Kwani huyu waziri wenu amevuta bangi? TPDC ndio inastahili kujenga pipeline ya EACOP? Wacheni pupa na papara nyingi.
Wacheni kiherehere. Hata wenye pesa akina Total bado wamenyamaza wanangoja mpitishe sheria mpya halafu nyinyi watu mliokosa adabu na haya mnakuja hapa kusema nye nye nye. Waziri wenu hata hajawahi kuona $3 billion maishani anazungumza kama nani. Wenye pesa wamenyamaza, wao ndio wataamua ni lini tender zitatolewa na lini ujenzi utaanza. Total wamenyamaza, sasa huyo waziri wenu nani anapiga piga domo kama tarumbeta.TPDC ndiyo msimamizi mkuu wa EACOP. Serikali, yaani wizara ya Nishati inapitia TPDC kufanya kila jambo kuhusiana na EACOP.