Special Thread: Ebitoke, Comedian anayekuja kwa kasi

Special Thread: Ebitoke, Comedian anayekuja kwa kasi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huyu demu yupo vizuri sana kwenye comedy, nimeangalia baadhi ya clips zake mitandaoni, kwa kweli yéyé na crew yake wanafanya vizuri sana kwa sasa, nadhani kwa sasa ndio kikundi cha comedy kinachofanya vzuri kwa sasa.
c74e71622b0e16d1f1af65acc871d51e.jpg
 
Pamoja na kjana anatumia jna whozu Instagram anafanya cover za nymbo yuko poa kisoo
 
Kumne muhaya typical anakuwa kiazi namna hii!!!

Samahan kaka, naomba unimwagiye.
 
Back
Top Bottom