Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka amwagiwe Leo ni besidei yakeAnatudhalilisha wahaya
Mkuu sikiliza huyu mbunifu sana na kaangalia soko, watu wengi wako upande huu sa iv ndio mana hata hapa jf ukileta thread ya ngono au mapenz itachangiwa zaid kuliko thread nyengne jaribu kupeleleza. Sasa mm sioni ubaya muhimu kumuunga mkono anakuja vizur hebu angalia ile clip aliyopewa hela ya kula badala ya kununua chakula yy akala iyo pesa na mtt kampa za zenji na maji inachekesha sana. she deserves pongez zetu[emoji23]Hana jipya.. Clip zake zimekaa kingono ngono tu.. Kwa style hiyo watatoka kwenye game mapema mno.

Yule wa KARATU ameishia wapi.. Maana naye mlimsifia humu..Huyu demu yupo vizuri sana kwenye comedy, nimeangalia baadhi ya clips zake mitandaoni, kwa kweli yéyé na crew yake wanafanya vizuri sana kwa sasa, nadhani kwa sasa ndio kikundi cha comedy kinachofanya vzuri kwa sasa.
![]()
Wapo vizuri sana halafu ni majasiri sana. Kiukweli they are shining now. Tuwaunge mkono vijana wenzetu wanaitendea haki tasnia ya sanaa. Nawakubali na nilisha watumia ujumbe wa kuwapongeza ili kuwapa moyo wasonge mbele.Huyu demu yupo vizuri sana kwenye comedy, nimeangalia baadhi ya clips zake mitandaoni, kwa kweli yéyé na crew yake wanafanya vizuri sana kwa sasa, nadhani kwa sasa ndio kikundi cha comedy kinachofanya vzuri kwa sasa.
![]()
Acha bana, mkudesimba nae anadhalikisha waluguru?Anatudhalilisha wahaya
ujinga ujinga tuHuyu demu yupo vizuri sana kwenye comedy, nimeangalia baadhi ya clips zake mitandaoni, kwa kweli yéyé na crew yake wanafanya vizuri sana kwa sasa, nadhani kwa sasa ndio kikundi cha comedy kinachofanya vzuri kwa sasa.
![]()
naunga mkono hojaChekanamkubwanawanawe awa ndo wako vzuri wako creative
egi nkundi yo omukyaroHuyu demu yupo vizuri sana kwenye comedy, nimeangalia baadhi ya clips zake mitandaoni, kwa kweli yéyé na crew yake wanafanya vizuri sana kwa sasa, nadhani kwa sasa ndio kikundi cha comedy kinachofanya vzuri kwa sasa.
![]()
Nibazana bojo.Anatudhalilisha wahaya
Kwakwel yule mkaka anaongea yye mishipa ya kichwa inaniuma mieMbona Kama havichekeshi sana.,,
Halafu yule mwanaume Kama anatumia nguvu sana Kwenye kuchekesha.
Yule hawezi, sometimes anamuiga Kitale kwenye uteja, hawezi kuwa comedian mzuri yule anatalazimisha watu mcheke. Huyo Ebitoke nimemcheki anachekesha, ila tatizo vichekesho vyake vingi vimekaa kingonongono, nitamuamini zaidi kama ataweza kuchekesha bila matusiKwakwel yule mkaka anaongea yye mishipa ya kichwa inaniuma mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakwel yule mkaka anaongea yye mishipa ya kichwa inaniuma mie