Mkuu nimeenda kumchungulia huyu jaymond youtube....aisee comedian wabongo wajipange kumpigia kura huyu bwana mdogo,namtabilia safari ndefu sana kwenye hii industry.Jaymond namvulia kofia ni nomaaaaa
Yule mkali wenu anatumia nguvu kinoma,,ebitoke na bwana mjeda ni noma ila cheka na mkubwa na wanawe dah kuna jamaaa wakuitwa ramsoleen ni shidaYule hawezi, sometimes anamuiga Kitale kwenye uteja, hawezi kuwa comedian mzuri yule anatalazimisha watu mcheke. Huyo Ebitoke nimemcheki anachekesha, ila tatizo vichekesho vyake vingi vimekaa kingonongono, nitamuamini zaidi kama ataweza kuchekesha bila matusi
Huyu FELLA kila sehemu yupo!Chekanamkubwanawanawe awa ndo wako vzuri wako creative
Yule YESU wao noma sana!Jambo na vijambo ndio funga kazi katika comedy hapa Tz kwasasa.
Mkemia mkuu bwana Kazoa sio wa kumkosa kila jumapili 18:30 pale EATV.
mzee noumaaa sanaKwa kweli kwa comedian mmojammoja mi namkubali Sumaku,yupo ITV Ile Jumapili usiku saa 3
Nyie kiboko yenu Ngosha tu. Anakuja kwenu anawapiga madongo atakavyo afu anasepa na hela zenu.Message Delivered. WAHAYA hatutakagi masikhara ya kishamba