Special Thread: Hivi Mungu hakuwa na njia nyingine ya kutuondoa duniani zaidi ya kifo?

[emoji4] [emoji4] [emoji4] na akihamishwa huku anajitambua anaweza akatumia mbinu zake kutoroka na kurudi duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisichokuwepo hakipo kwa muktadha gani?
 
Hapo ndipo utagundua kama mungu hayupo maana kila kilochokuwa na mwanzo kina mwisho

Hiyo ni sheria ya ulimwengu na kama mungu yupo nae ameshakufa hakuna kinachobaki milele
 
Mtoa mada unatuuliza sisi kwani sisi mungu ?? au huku JF kuna mungu atakujibu ??

Ok anyway , hata kama hauna akili basi jitahidi kujifanya una akili angalau .... Sio kuongea ongea pumba tu hapa .
 
Mungu hazikikizagi maoni ya binadamu maana mtamyumbisha akose msimamo. Analopanga ndo hilo hilo.
 
Yesu ndo kifurugobe gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 




mkuu Muumba wetu anamakusudi yake hawezi kuruhusu mambo flani kwa sababu flani. mfano we unataka walio fariki waendelee na mawasiliano na walio hai,huoni itakua hatari zaidi sababu mchawi au gaidi waengendeleza uovu wao .nadhani leo kuna watu wangekuwa wa nawasiliana na osama awafundi ugadi...
 
Waislam nao wanafuata mpango wa biblia? umeamini vipi mpango wa biblia ndio bora kuliko mingine, tunarudi kule kule dini ni imani tu hazina uhakika wowote hata mapokeo yake ni imani tu, walioandika vitabu vya dini ni watu kama wewe.
nani kakwambia kama waislam wanafuata mpango wa biblia na wakati sisi tuna kitabu chetu kilichosheheni maono yenye ukweli na busara na ata tukifuata sisi hatuitambui kama ni biblia sisi tunaitambua kua ni injili ya mtume wa mungu issa a.s
 
Nani anakuambia sisi tunakufa, Mwili ndio unakufa, kama vile unavyotupa nguo iliyochakaa ndio unavyovua mwili ulioshindwa kuishi na wewe. Ni ujinga kudhani sisi ni mwili, mwili huanzishwa na mbegu ya baba na yai la mama, Roho ambayo imeumbwa kwa mfano wa mungu ambayo ndio wewe inaingia mwilini. Roho kama alivyo mungu haionekani, lakini ndio inayoupa uhai mwili wako, kwa maana hiyo wewe ndio unajukumu la kuujenga na kuutunza mwili wako. Roho inahitaji kitu fulani Duniani, lakini hisia 10 zilizo mwilini zinapumbaza Roho na kujisahau, na kujazwa ujinga (Ignorant) inashindwa kujitambua kuwa inapaswa kuutumia kuutumia mwili kufikia malengo yake, badala yake inatekeleza malengo kwa mahitaji ya Mwili na Akiri, kwani inajiona iko tofauti na viumbe wengine, kwa nafasi na wakati iliopo, inajenga ubinafsi, uchoyo unayozaa chuki, inakuwa na tamaa ya kumiliki mali, vitu, na watu wengine. Siku ya kuachana na mwili yaani siku mwili unapokufa, Roho inajua ukweli ni nini ilikuwa madhumuni ya Roho kwenye ule mwili inaotengana nao, inajikuta tumepoteza muda adimu sana na hivyo inajuta. Kifo ni shift of conciousness from physical level of conciousness to higher level where there is no forms, apart of internal guilt concious ambayo inakulazimu kutafuta mwili kwenye huu ulimwengu wa birth control. Dhambi ni tendo lolote ulifanyalo kinyume na kufanikisha madhumuni ya uwepo wako mwilini, hata ukitoa sadaka iliuweze kuneemeka zaidi na maisha duniani utakuwa unafanya dhambi tuu like wise unaweza fanya ukatili lakini if saves the purpose of life ni thawabu. So ili ujue unatenda thawabu au dhambi ni lazima kujua why you in your body? To do what?.
 

Vipi kuhusu njia ya namna tunavyozaliwa, je yenyewe hauna tatizo nayo?
 
Watu wangejaa huko sayari nyingine na kudondoka kurud tena dunia kungekua na mvua ya watu kwa msimu kama wangejaa huko sayarini
 
Mila zingine ni sherehe.
 
Mungu hayupo tena
 
Mwisho wa kiumbe hai huwa ni mauti, ka hivyo ni vizuri tuishipo hapa duniani tusikanyagane sana.

Kuhusu kuamini kuna nguvu ya ziada iliyotuumba kwa kusadiki yupo Mungu, ile ni imani tu tuliojiwekea ili kuondoa hofu ya kifo.

Kiuhalisia, baada ya kifo hakuna maisha mengine, ni sawa na mende aliekufa na kuliwa na sisimizi.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…