The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Kwani anaye kufa ni binaadamu tu peke yake !? Kifo Kipo kwaajili ya kuendeleza uzalishaji Tu hapa duniani hkmakuna kingine hayo mambo mengine ya kiimani ni kujazana ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IndeedMwisho wa kiumbe hai huwa ni mauti, ka hivyo ni vizuri tuishipo hapa duniani tusikanyagane sana.
Kuhusu kuamini kuna nguvu ya ziada iliyotuumba kwa kusadiki yupo Mungu, ile ni imani tu tuliojiwekea ili kuondoa hofu ya kifo.
Kiuhalisia, baada ya kifo hakuna maisha mengine, ni sawa na mende aliekufa na kuliwa na sisimizi.
🤣🤣Hapo ndipo utagundua kama mungu hayupo maana kila kilochokuwa na mwanzo kina mwisho
Hiyo ni sheria ya ulimwengu na kama mungu yupo nae ameshakufa hakuna kinachobaki milele
proof kama Mungu yupo? do no base your argument on Revelations please, scientific proofMungu hayupo tena
Ukiwa na yesu huwezi kufaInabidi tuvumilie tu, maana kama kamtoa mwanawe pekee kufa msalabani kwa mateso, sisi ni nani, ila Yesu akiwa ndani yako kifo unakifurahia tu, maana unaenda kwa muumba wako, tatizo lipo kwa sisi wenye kuogelea kwenye maovu mara kuteka, kuua au kupoteza watu, utajiri w kafara, yaani kila siku unamuuzi Mungu na binadamu wenzako unafiri kifo utakionaje, na ndio yule jamaa alikuwa haendi kwenye misiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna habari iliyopindishwa Bali umepinda wewe.Mimi naamini kwamba mungu yupo ila tatizo Ni kwamba yawezekana habar zake zimepindishwa Kama ilivopindishwa habari ya idd Amin dada na yule jamaa wa zanzibar(okello)
Kama wewe umeweza kuwepo Mungu anashindwaje kuwepo?Mimi nimesema Mungu hayupo,hii ni "Default position" kwa Mtu yoyote anayepinga uwepo wa kitu chochote
Lazima aseme hicho kitu "Hakipo" kwa sababu haoni namna yoyote ya hicho kitu kuwepo
Sasa wewe unayesema kitu fulani kipo,bila Shaka utakua unajua ni namna gani hichi kitu kinaweza thibitishika kuwa kipo
Kwahio wewe ndie unaepaswa kuthibitisha Kuwa Mungu yupo
Nithibitishie kuwa Mungu yupo?
Kila nikiwaza et ipo siku ntakufa stimu huwa inakata kabisaNimefikiria sana mateso wanayopata wafiwa pindi wapenzi wao wanapofariki, hubaki na majonzi kwa muda mrefu wakikumbuka enzi za uhai wake, kuna baadhi kutokana na ukaribu waliokuwa na marehemu nao humfuata baada ya muda mfupi.
Sipingi wala sikosoi mipango ya Mungu lkn, najiuliza hivi hakuwa na njia nyingine mbadala ya kutuondoa bila kuacha alama na kutuacha na majonzi kiasi hiki.
Kwa mfano, badala ya kufa na kuonekana unazikwa angetuhamisha na kutupeleka sayari nyingine aliyowaandalia 'wafu' (siyo mbinguni) lkn tukabaki tunawasiliana nao kwa njia yeyote ile, tukacheka nao wakatushauri tuliobaki, labda tu angetuwekea kikomo fulani cha mawasiliano tofauti na wakati walipokuwa bado hai.
Tujadili.
Kuna vitu baadhi wanatupigaHakuna habari iliyopindishwa Bali umepinda wewe.
Kaafanye homework yako vizuri.Nimefikiria sana mateso wanayopata wafiwa pindi wapenzi wao wanapofariki, hubaki na majonzi kwa muda mrefu wakikumbuka enzi za uhai wake, kuna baadhi kutokana na ukaribu waliokuwa na marehemu nao humfuata baada ya muda mfupi.
Sipingi wala sikosoi mipango ya Mungu lkn, najiuliza hivi hakuwa na njia nyingine mbadala ya kutuondoa bila kuacha alama na kutuacha na majonzi kiasi hiki.
Kwa mfano, badala ya kufa na kuonekana unazikwa angetuhamisha na kutupeleka sayari nyingine aliyowaandalia 'wafu' (siyo mbinguni) lkn tukabaki tunawasiliana nao kwa njia yeyote ile, tukacheka nao wakatushauri tuliobaki, labda tu angetuwekea kikomo fulani cha mawasiliano tofauti na wakati walipokuwa bado hai.
Tujadili.
Unatakiwa uelewe kwanini umepewa uhai wa duniani.Kila nikiwaza et ipo siku ntakufa stimu huwa inakata kabisa
Kinafanyeje kama hakikuondoiKaafanye homework yako vizuri.
Kifo hakijawahi kuwa njia ya kukuondowa duniani.
Kwa nini si kwa wakristoUnatakiwa uelewe kwanini umepewa uhai wa duniani.
Jibu lipo kwenye Uislam pekee
Unatakiwa uelewe kwanini umepewa uhai wa duniani.
Jibu lipo kwenye Uislam pekee.
Kifo ni neno linalotokana na Kiarabu, "Kif" maana yake ni "full stop". Kinakufa kile kilichokufa tu, ama ni kiwiliwili chqko chote au ni kimojawapo ya viungo wa mwili wako.Kinafanyeje kama hakikuondoi
Hawana maandiko ya Muumba wetu.Kwa nini si kwa wakristo
Kama Samia Angekua msumbufu sana kuhama.Hiyo ndiyo njia nyingine ya kwenda sayari nyingine.
Binadamu hawezi kuhamishwa akiwa anajitambua maana ni mbishi sana.
Fikiria leo dude linakuja kuwa upande uende sehemu nyingine utoke duniani uache chura, pombe, mali na vinginevyo utaenda kweli.
Acha tuhame bila usumbufu.
Nikaishi peponi biblia yasema hivoKifo ni neno linalotokana na Kiarabu, "Kif" maana yake ni "full stop". Kinakufa kile kilichokufa tu, ama ni kiwiliwili chqko chote au ni kimojawapo ya viungo wa mwili wako.
Ukiacha kuishi (kuwa hai) unaingia kwenye umauti. Kifo hakimaanishi kuwa umeingia kwenye umauti.
Umauti pia haumaanishi kuwa umeondoka duniani.
Kukuondowa duniani na kukupeleka kwengine ni maamuzi ya Muumba wako siyo ya mwengine yeyote.
Usichanganye, kifo, umauti na kuondoka duniani. Ni vitu vitatu tofauti.
Ukuiondolewa duniani unataka uishi wapi na vipi?