Hapa kuelewa inaweza ikawa ni usomi pia
Ndio mkuu usomi una kurasa nyingi itafuatana unatafusiri vipi huo usomiUjuzi wa mtu alioupata nje ya Elimu ya darasani unaweza ukawa ni Usomi pia mkuu!!
kabisa, na elimu ni kile kilichobaki baada ya mtu kusahau alichojifunza shuleni.''Jamii inahitaji wasomi wenye uwezo wa kugeuza kile kilichoaminiwa hakiwezekani na kuwa kinachowezekana''
nafasi ya ngapi sasa hiyo chief? [emoji3]Nimewahi nafasi
kivipi Mndali?Hapa kuelewa inaweza ikawa ni usomi pia
nilikua nataka niulize hivyo....Usomi ni nini?Ndio mkuu usomi una kurasa nyingi itafuatana unatafusiri vipi huo usomi
... Also Resources and talents.The only difference between a rich person and poor person is how they use their time.
Huyu ni fala kaamua kumia njia yake na naenda kuomba msamaha kwa Mungu
anything that can supplement a loud mouth!And what is that animal called "...more than a loud mouth.."?