"Sipo mjini kutajirisha watu"
Huu msemo nimeutunga kwa mambo ninayoyapatia. Kampani ninayokuwa nayo mara nyingi ni watu wa matumizi yaani pesa ndogo ndogo kama kupanda bodaboda 3000 sehemu amabyo kuna daladala wenyewe hawaoni tabu. Na siyo kama wanapesa! Hasha bali ni ile hulka tu ya kutajirisha watu. Nikajisemea moyoni huo msemo. So unanipa sana nguvu maeneo fulani fualani.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo