Iko hatua ya mafanikio katika maisha ambayo inataka uwe mnyenyekevu ili uweze kuiishi. Ikitokea umeifikia kabla hujafaulu mtihani wa unyenyekevu, maisha yatatafuta namna ya kukunyenyekeza yenyewe. Na njia moja ya maisha kukunyenyekeza ni kwa kukupokonya hicho ulichonacho.
 
Wasalaam,
Hakika madaraka ni matamu na ccm kamwe haiwezi kukubali uchaguzi huru na wa haki maana wako tayari hata kumwaga damu za watanzania ili kuingia ikulu.
Dalili mbaya zinaonekana Zanzibar inawezekana yakatokea yaliyotokea 2001 ambapo damu za watu zilimwagika kisa uroho wa madaraka wa ccm, hapa bara yalishamkuta Tundu Lissu kwani alishaonekana ni kikwazo kwa rais magufuli, wapo kina Ben saa8, Alphonce mawazo, Azohory na wengine wengi waliokua na mawazo tofauti na malaika Mkuu.
Ova.
Maendeleo yana vyama.
 
Watu wanalazimisha hata kwenye hamna wamewazuia wazenji kujisajili kwenye daftar la wapiga kura halafu bado wanawakata wagombea wa ACT sijui akili za wapi hizi
 
Mbona chadema ni waoga sana ? Mwambieni maalumu seif awafunde
 

Pyu pyu pyu pyu. CCM hii mh!!!!
 
Watu wanalazimisha hata kwenye hamna wamewazuia wazenji kujisajili kwenye daftar la wapiga kura halafu bado wanawakata wagombea wa ACT sijui akili za wapi hizi
Damu za watu zimewalevya wanatamani zimwagike tena waendelee kulewa.
 
 
Life like we all know it, is a journey. Along this journey are different experiences, the good, the bad and the ugly. But how everything turns out is not much about what happens to us but how we decide to react to it.

Between incidents are reactions, there is a gap and it's within this gap that we make the choice of the reaction, whether it's going to be positive or negative.

Compiled below are some life quotes that have the power to change our outlook to life.

1. Almost all of us have had a situation where we were scared of doing something, but after managing to convince ourselves to go ahead, we succeeded.
The truth is that there's no limit to what we can achieve once we are able to convince our mind.




2. It is of utmost importance to pay the full price for any achievement we want in life. Avoid short cuts by all means for that's the only way to achieve lasting success.



3. The wisest men are the ones who have mastered the art of being calm in every situation, they are the ones who have trained their mind to still be able to think logically even in times of chaos. This is how the best decisions are made.



4. There's nothing like luck in life, if you want success, you'll have to work for it. While others are wasting time, continue working hard, the difference will show.



5. Success is never achieved easily, however it's always worth it. When you feel like quitting, push a little bit more for that's when success is always achieved.



6. Money is just a tool, and to escape poverty, it's paramount we understand how to use this tool. Money does not go to those who need it, rather it goes to those that knows how to nurture it. Do not spend more than you earn, keep a little aside and nurture it for the rainy day.



7. Persistence and patience doesn't pay at all times, sometimes you need to make a change, move to another location, leave that abusive relationship, change your business or totally change your approach.



8. You need to understand that there's a force larger than life. Trust in God and his grace will lead you where your physical strength cannot.



9. Try and live a principled life, make the right decisions for your life is the sum total of all the decisions you make.


10. Contentment is very good, but never lose your hunger for improvement and advancement. Note that all innovations are products of men that didn't accept the status quo.



11. The future belongs to those that have long term plans and visions. So not jeopardize your future for the fun of today.



12. Don't ever be afraid to try anything, fear always reduce when you stare at it in the face. Opportunity always favors the bold.



What's your opinion?
 
Kiongozi yeyote wa kisiasa anayechukia kukosolewa hajui maana halisi ya kuwa na hiyo mafasi---------raisi ya marekani
 
Kiongozi yeyote wa kisiasa anayechukia kukosolewa hajui maana halisi ya kuwa na hiyo mafasi---------raisi ya marekani
Na pia katika maisha yako hautakiwi kuruhusu kila mtu akukosoe ni mwanzo wakudharauliwa na kuchukuliwa poa hata na mfanyakazi wako wa ndani, weka limit ya watu ambao wanatakiwa wakukosoe na si kila mmoja akukosoe na kukubaliana na kila anachokitaka
 
Na pia katika maisha yako hautakiwi kuruhusu kila mtu akukosoe ni mwanzo wakudharauliwa na kuchukuliwa poa hata na mfanyakazi wako wa ndani, weka limit ya watu ambao wanatakiwa wakukosoe na si kila mmoja akukosoe na kukubaliana na kila anachokitaka
Sidhani kama ni sahihi ila ni mawazo yako nayaheshimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…