shukrani kwa mantiki yako ili kimoja kisonge mbele lazima kingine kianguke
 
wenzetu hua wanaamini kua WAKIUA wengine wao ndio wataishi umri mrefu zaidi, ndio maana ni vinara wa kuua watu duniani na iyo kazi hua wanaenda kuikamilisha middle east sana sana.
 
sawa sawa mkuu nimeipenda

Lakini wenzetu ni hao wenye rangi nyeupe sio???
 
Angalia na tafsiri hii hapa[emoji116][emoji116]
" Ukiona unaendelea kuishi ujue kuna watu wamepoteza uhai kwaajili ya maisha yako. Mfano halisi Kunawazee wetu wamepoteza maisha kwaajili ya kulifanya Taifa hili liwe huru. Mfano halisi wa pili, leo hii kuna manesi na madaktari wanakufa kwaajili ya kupambania maisha yetu.
 
Haupo sahihi!Kwani kukiwa hakuna vifo na nafasi ikawa ni ileile haiwezekani tutumie technolojia katika kuzalisha chakula,nafasi za kuishi na kadhalika na tukaweza kuishi?
 
sawa sawa mkuu
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hiyo tech tunaitumia kwa namna gani kumantain uwepo wetu ambao upo kwenye expansion form while we have limited space?....

Emb changanua kwa upande wa nafasi za kuishi tuone how could this be possible

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu unauliza tena technilogia ya nafasi za kuishi wakati kuna uwezekano kabisa wa kujenga kwenda juu,kuishi mars,mwezini na hata kwenye sayari nyingine?Hujawahi kusikia kuwa akina Elon Musk wanatafuta uwezekano wa binadamu kwenda kuishi kwenye sayari ya mars?Kumbuka universe ina trillions za sayari ambazo ni habitable na ambazo kupitia technolojia ni possible kwenda kuishi humo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…