"...usirithi adui wa mtu, tengeneza adui yako mwenyewe na ushauri wangu kwako huna haja ya kutengeneza adui. Mchukulie kila mtu vile alivyo sio kwa kuambiwa, utakapofanya naye kazi utajua nani ni nani..."
JK II.
Nzi hata umuweke kwenye mzinga miaka 100 hawezi kutengeneza asali- Mjomba wangu.
Unaishi Kama nzi ukiamka tu unawaza mavi yako wapi-Mjomba wangu
Ishi Kama nyuki ana mpangilio wa kazi anazalisha product "asali-" usiishi Kama nzi hana chochote cha kujivunia-Mjomba wangu