Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
utajiri sio kufurahisha roho.utajiri ni kunyima roho.
kuwa na kasoro ni sehemu ya UBINADAMU, kukubali kuwa una kasoro ni UUNGWANA,kujirekebisha kutokana na kasoro ni USHUJAA na kuelimisha watu kwa ulichojirekebisha ni UKARIMU. ubinadamu + uungwana+ushujaa+ukarimu = UADILIFU