msold msward
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 595
- 202
HII SIO GRAMMAR NI LITERATURE MBONA KWETU TUNAELEWA TU.NA SI UNAJUAGA MAMBO YA PERSONS AU UMESAHAU?SIKU HIZI NA WEWE UNAKADIGIRII NINI?TUSIFANYE MAISHA MAGUMU KUJIFUNZA KITU KIPYA HAKUHITAJI GRAMMARIt should be written " Women are second God's mistake"
wingi wa woman ni women na sio womens......
don't mind mkuu.
Umevuta nininilitaka niandike kwamba wana jf wanaikwepa kwa sababu hii haina udaku: ina elimu halisi yahusuyo maisha[emoji16][emoji16][emoji16]!!! nikaona bora niache kwa sababu nahofia kuzomewa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]...!!
hiyo ya walter rodney nahis umechanganya kidogo au inafanana na hii ya abraham lincoln"YOU FOOL SOME PEOPLE SOME TIMES BUT YOU CAN'T FOOL ALL PEOPLE ALL OF THE TIME" WALTER RODNEY 1963
"SOME PEOPLE GOT EVERYTHING,SOME PEOPLE GOT NOTHING.." R.N MARLEY
"THE OPPRESSED WILL ALWAYS BEALIVE THE WORST ABOVE THEMSELVES" - Frantz Fanon
endelea.....
Duh... Uko nje ya uzi kabisa au vibaraka!! Tiririka na uzi mambo yako ya dai na kiba peleka kwa BashiteDiamond amesema alikutana na ali kiba kenya wakiwa kwenye coke studio baba Tiffah anasema waliongea mengi na kupiga picha pia ali kiba alikuepo wakati yeye anarekodi nyimbo na Ne yo kwa habari zaidi bonyeza link ya blue apo chini :
Duh hii thread imepinduliwa na Bashite nini i hope umeniquote kwenye ile thread ya Bob Marley!
nime upenda msemo wako captainUkichoka kutunza siri, kubali kufumaniwa yaishe, by me.