Go hard or go home!Kila mtu ana Quote yake ambayo ukikutana na hali ngumu basi unaitumia kama motivation katika kupambana na hiyo hali zangu chache ni hizi:-
-Danger is Real Fear is a Choice
-Willing is Not Enough You Must Do
-Life have Two Choice Run or Fight
Twende kazi..........[emoji41]
Thats trueeGo hard or go home!
good better bestNafanya kama sijawahi fanya vema, na nikifanya nafanya Kama sitofanya tena!
- One the incredible
Nafanya kama sijawahi fanya vema, na nikifanya nafanya Kama sitofanya tena!
- One the incredible
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I wish i could be IGP