Kila mtu ana Quote yake ambayo ukikutana na hali ngumu basi unaitumia kama motivation katika kupambana na hiyo hali zangu chache ni hizi:-
-Danger is Real Fear is a Choice
-Willing is Not Enough You Must Do
-Life have Two Choice Run or Fight
Twende kazi..........[emoji41][/QUOTE
"Aim for the moon, if you miss you might hit a star"
Make your haters your motivators...and eventually your congratulators.
Hii inawafaa wale waliomaliza vyuo na wamelala tu nyumbn wanasubr ajira. Nawaongezea na hii:When you wait for something.. Do something.
ONLY GOD CAN
duhdont listen to any advice,not even THIS one!