[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]AbdulJumbe! - Alipotaka serikali tatu. Nyerere alimuuliza moja kujumlisha moja ningapi..? Jumbe akajibu ni mbili. Nyerere akamwambia kama ni mbili mbona unatakaserikali tatu..? Huo ndio ukawa mwisho wa Abdul Jumbe kuwa Rais wa Zanzibar.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mlitaka nipande punda? Kapuya huyo baada ya kwenda jimboni kwake na ndege ya jeshi akiwa waziri wa ulinzi.