Mchungaji Lusekelo aka mzee wa upako katika mahubiri yake Kanisani yaliyorushwa na Star tv amesema mtu mwenye nguvu haupaswi kushindana naye bali una wajibu wa kuungana naye. Source Star Tv!
 
Walikuwepo wenye nguvu kama goliati lakini Daud hakuungana nae bali alimmaliza kwa kutumia mbinu zilizokuwa ndani ya uwezo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…