Special thread: Kilimo cha umwagiliaji (Irrigation)

Mkuu cha kushangaza kuna baadhi ya watu inaonekana wanaufahamu mzuri lakini hawakawii kusema njoo pm. Ninapenda kilimo na ufugaji lakini sio mtaalamu wa kilimo
Mi mwenyewe sio mtaalam ila najifunza kutoka kwao...and through them & mistakes nazofanya am getting better everyday...so dont worry utakua mtaalam tu siku moja through experience unazopitia ila nasikitishwa sana na watanzania kutaka kupata faida kubwa kwa mgongo wa watanzania wenzao...
 
Tatzo la watanzania tunaumizana sana...mtu anataka 1.8-2m kwa drip pipes za heka moja while for io hela ukiagiza kutoka china unapata pipes za heka 5....
+86 150 7569 8509 add hio no then anza kuchat na huyo dada watsap mpe requirements zako atakutengenezea design na kukuuzia drip pipes na kukutumia hadi tz unachotakiwa ni kulipia gharama za bandari,wakala na tra utoe mzigo wako...
+8675533556323 hii no ni kwa wale wanaohitaji solar water pump systems kwa wale ambao hawapo karibu na mito...with solar power pump system & drip irrigation u r one point close kua mkulima wa kisasa...Goodluck guys
Solar Power Pump System wanauzaje?? na zinakua na uwezo gani??
Ngoja nicheki nao
 
Solar pump zinategemea unataka lita ngapi kwa saa...ila nakushauri km hujachimba kisima pima kwanza kisima chako kinaweza kutoa maji kiasi gani kwa saa...uzuri solar pump na solar panels hazina kodi...no import duty wala vat...ni ww na shipping cost,bandari na wakala wako(upate wakala anaejua kuingiza data kwenye system ya tra coz akikosea watakulima kodi na kuja kufanya ammendment itakulia muda na kuongeza storage cost)...
 
Mkuu cha kushangaza kuna baadhi ya watu inaonekana wanaufahamu mzuri lakini hawakawii kusema njoo pm. Ninapenda kilimo na ufugaji lakini sio mtaalamu wa kilimo
Mkuu najua hali halisi ya mtanzania hasa kipindi kama hiki! Nnachojitahidi ni kutoa kile nnachokijua tena free kabisa hapa hapa jukwaani na sio pm (labda kama upende mwenyewe)! Sote kwa pamoja tushee kidogo tulicho nacho kwa manufaa ya kila mtu na jamii!!

By the way nakukaribisha kwa mawazo, na kama ukiwa na challenge au wazo unaweza liweka ili mda mwingine tuliangalie kama mada!!

Karibu sana mkuu!
 
Tatzo la watanzania tunaumizana sana...mtu anataka 1.8-2m kwa drip pipes za heka moja while for io hela ukiagiza kutoka china unapata pipes za heka 5....
+86 150 7569 8509 add hio no then anza kuchat na huyo dada watsap mpe requirements zako atakutengenezea design na kukuuzia drip pipes na kukutumia hadi tz unachotakiwa ni kulipia gharama za bandari,wakala na tra utoe mzigo wako...
+8675533556323 hii no ni kwa wale wanaohitaji solar water pump systems kwa wale ambao hawapo karibu na mito...with solar power pump system & drip irrigation u r one point close kua mkulima wa kisasa...Goodluck guys
Hili ni wazo zuri sana mkuu!! Ni kweli supplier wengi wa ndani ni walanguzi, nilicheki balton na baadhi ya maduka bei zao kwakweli sio rafiki!! Tunashukuru sana kwa mawazo yako mkuu naimani yatawanufaisha wengi sana!!

Karibu tujifunze pamoja!
 
Ulanguzi ndo ulinifanya niwaze nje ya box hadi nikawapata hao wachina wa alibaba na bei zao na ushauri ni rafiki sana...tena km watu wakijiunga km team wakaagiza mzigo bei kwa pamoja discount na cost nyingine zinapungua sana
 
Mkuu kabla ya yote lazima ujue spacing ya zao lako!! Ukishajua...then ujue eneo lako ni eka ngapi!!! ...na kuhusu kudumu kwa drip ina tegemea ..je utazukia au utaweka juu...na je mazingira yakoje??? Jua kali..zinakanyagwa mara kwa mara!! ?? Ngoja nikitulia ntakuja na data kamili!!!
Wewe ni mtaalam.
Unatakiwa utoe estmation kulingana na mzao ambayo ni comon kwa umwagiliaji hapa kwetu.
Jibu swali
 
Ktk hili ni ngumu sana mtu kukupa jibu la moja kwa moja...kila zao yaliyo common hapa tz yanatofautian distance ya mbegu na mbegu na upandaji wa mtu...mfano mimi naweza kuweka distance ya shimo na shimo la mbegu kua mita 2 mwingine akaweka 1.5m mwingine 1m...zao hili linaweza kua 2m jingine likawa 1m...ivo inabidi ujue unacholima shimo la mbegu na mbegu ni mita ngapi maana hio ndo ita determine matundu ya drip pipes zako yatakua yanaachana kwa umbali gani..pili ukubwa roller unategemea ukubwa wa shamba...ukishajua izo hesabu ni rahisi kujua utahitaji mita ngapi.. mfano unalima tikiti kutoka shimo moja hadi jingine ni m1 na distance ya mstari mmoja hadi mwingine ni 1m maana yake utahitaji pipe yenye matundu ya umbali ya 1m na utahitaji roller la mita 70 (urefu) x mistari 70 (70x70= 4900)...utahitaji roller la m4900 so km roller moja wanauza la m1000 meaning utahitaji matano...nadhani hapo utakua umeelewa
 
Mimi sina tatizo.
Nilitaka umsaidie huyo mteja wako
 
Mimi sina tatizo.
Nilitaka umsaidie huyo mteja wako
Humu hamna mteja na muuzaji wote tuna share idea,na huyo mteja alipaswa ajue mahitaji yake...vipimo vyake vikoje,kuna mambo mengine tunawabebesha mzigo watoa ushauri,inabidi tujisaidie kabla ya kusaidiwa...mkulima anapaswa ajue vipimo vya shamba lake na vipimo vya upandaji wa mbegu zake
 
Ktk hili ni ngumu sana mtu kukupa jibu la moja kwa moja...kila zao yaliyo common hapa tz yanatofautian distance ya mbegu na mbegu na upandaji wa mtu...mfano mimi naweza kuweka distance ya shimo na shimo la mbegu kua mita 2 mwingine akaweka 1.5m mwingine 1m...zao hili linaweza kua 2m jingine likawa 1m...ivo inabidi ujue unacholima shimo la mbegu na mbegu ni mita ngapi maana hio ndo ita determine matundu ya drip pipes zako yatakua yanaachana kwa umbali gani..pili ukubwa roller unategemea ukubwa wa shamba...ukishajua izo hesabu ni rahisi kujua utahitaji mita ngapi.. mfano unalima tikiti kutoka shimo moja hadi jingine ni m1 na distance ya mstari mmoja hadi mwingine ni 1m maana yake utahitaji pipe yenye matundu ya umbali ya 1m na utahitaji roller la mita 70 (urefu) x mistari 70 (70x70= 4900)...utahitaji roller la m4900 so km roller moja wanauza la m1000 meaning utahitaji matano...nadhani hapo utakua umeelewa
Infact nlipanga nikitulia niweke somo lake kabisa, shukrani sana kwa mwongozo mzuri!!! Ila yet ntaweka maana nlishaanza kuandaa!! Naimani mkuu cumins atakua amepata mwanga!

Karibu kwa pamoja tujifunze.
 
Mkuu Upepo wa Pesa nashukuru sana kwa mada ulioianzisha hapa. Najifunza mengi japo kimya kimya. Mimi pamoja na shughuli zingine pia ni mdau wa kilimo cha umwagiliaji na njia ninayotumia ni furrow. Sehemu moja ya shamba namwagilia kwa kutumia mashine na nyingine bila pump.(i mean maji yanatoka mtoni hadi shambani. Nataka nilime kisasa zaidi kwa kutumia drip ifikapo mwakani. Ubarikiwe sana kwa uzi huu unazidi kunifungua ufahamu.
 
Nashkuru sana ndugu!! Pia nikupe hongera!! Naimani utapoanza kutumia drip utafurahi mwenyewe!! Hutakua na haja ya kwenda kupambana na maji shambani kwa jembe, kazi yako ni kufungua koki na kuhesabu masaa ukiwa ndani alafu unarudi kufunga kazi inakua imeisha!! That is drip irrigation mkuu!!!

Karibu kwa pamoja tujifunze!! BTW wiki hii ntaweka somo lingine na kama utakua na wazo ambalo unahisi tulifanye kama somo au topic nalikaribisha!
 
Wadau next topic inaweza kua moja kati ya hizi!!
1. Aina ya Vyanzo vya maji kwa ajili ya umwagiliaji. Pia tutaangalia madhara yanayoweza tokea kama hutatumia maji kwa uangalifu

2. Elimu kuhusu pump na jinsi ya kuchagua pump kulingana na mahitaji

3. Jinsi ya kukadiria mahitaji ya drip pipes/ drip line unapotaka kununua

Hayo ni mawazo yangu, kama utakua na wazo usisite kuweka ili tulifanye kama mada! Karibuni
 
Nashkuru sana ndugu!! Pia nikupe hongera!! Naimani utapoanza kutumia drip utafurahi mwenyewe!! Hutakua na haja ya kwenda kupambana na maji shambani kwa jembe, kazi yako ni kufungua koki na kuhesabu masaa ukiwa ndani alafu unarudi kufunga kazi inakua imeisha!! That is drip irrigation mkuu!!!

Karibu kwa pamoja tujifunze!! BTW wiki hii ntaweka somo lingine na kama utakua na wazo ambalo unahisi tulifanye kama somo au topic nalikaribisha!
Asante sana mkuu. Nasubiria kwa hamu topics hizo. Kwa sasa sina la nyongeza mkuu kuhusu topics naona zimekaa sawa. Kingine je kuna duka unafahamu linauza vifaa vya drip irrigation kwa bei nzuri hapa dar?
 
Nakumbuka kipindi nafanya research chuo nilihangaika sana... Japo kiukweli wengi bei zao si rafiki...kuna mdau kaweka namba za wachina hapa jukwaani, jaribu kiwacheki alafu na mimi ntakuchekia namba za mtu wa hapo dsm kama bado ntakua nazo maana ni mda kidogo umepita toka niwasiliane nae!!
 
Tatzo la watanzania tunaumizana sana...mtu anataka 1.8-2m kwa drip pipes za heka moja while for io hela ukiagiza kutoka china unapata pipes za heka 5....
+86 150 7569 8509 add hio no then anza kuchat na huyo dada watsap mpe requirements zako atakutengenezea design na kukuuzia drip pipes na kukutumia hadi tz unachotakiwa ni kulipia gharama za bandari,wakala na tra utoe mzigo wako...
+8675533556323 hii no ni kwa wale wanaohitaji solar water pump systems kwa wale ambao hawapo karibu na mito...with solar power pump system & drip irrigation u r one point close kua mkulima wa kisasa...Goodluck guys
Hiyo namba ya Solar pump supplier Haina WhatsApp labda imekosewa , supplier wa drip pipes wana patikana aliye toa namba aangalie kama kuna Makosa
 
Tushafanya marekebisho kwa post za mbele fuatilia uzi utaiona
 
Back
Top Bottom