SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Kwanini sisi wanaume wafupi mnatudharau na kutukataa kimapenzi?
Hatuwadharau, ila kuna wanawake nyinyi siyo machaguo yao.
Binafsi sijawahi kupenda kuwa na mwanaume ambaye nimemzidi urefu.

Ukiwa mfupi jitahidi sana kujijenga ili uwe na kitu cha kumuoffer mwanamke maana kwenye muonekano hapo tayari ni pagumu.
 
Anipe tu hata senti kidogo 🤗
Senti za kazi gani wakati una kula kuvaa na kulala? Mimi naamini ni wanawake wachache mno unaweza kuwapa buku baada ya mda ukaikuta ni buku 2 ameshaizalisha 🤔
 
Yeyote tu ndani ya ndoa au nnje wote wanadai pesa tu🤔
Factors ni nyingi sana, ila kwa ufupi, wapo wanawake ambao wako tayari.
Hii inategemea sana na mwanamke naye anatafuta nini akiwa na wewe.

Je anakuona wewe ni mwanaume ambaye unaweza kuwa mume au mwezi wake wa maisha au mnapotezeana muda tu. Wanawake huwa waelewa na wanajitoa sana kama kuna future au kama wamekupenda kwa dhati.

Ila mambo ya wanawake kuomba fedha nafikiri ni uvivu, kukosa aibu, ujinga na zao la patriachal society ambayo ilimuweka mwanaume kama mzalishaji na mwanamke kama mpokeaji. Inachukua muda kubadili hizi system ila kwa sasa nyie fungukeni tu kwa mababe zenu. Sisi tuliodate zamani, ilikua hauombi mwanaume mwenyewe anakupa, kuomba kilikua ni kitu cha fedheha.
 
Mshangazi dot com embu tuulizie huko maana naskia wanawake wote wamekubaliana kuwalisha waume zao misosi iliyojaa mifuta shatashata (dabidabi) na chumvi nyingi ili bdae wapate magonjwa na kufa haraka kwa visukari na presha ili eti bdae wafaudu mafao na vibenti. eti kuna ukweli kiongozi?
 
Wengi wanataka kuolewa, ila masingle mother ni matokeo ya mambo matatu.
  1. Wanaume wa hovyo, wababaifu, wasiojali wa kuzingatia majukumu yao ya msingi.
  2. Wanawake kushindwa kuchagua vyema mwanaume wa kuzaa naye, kuzaa kabla ya ndoa au kufosi mimba ili kumtuliza mwanaume.
  3. Majanga yasiyozuilika kama vifo, ugonjwa na kadhalika.

    Kila mtu inabidi aplay part yake ipasavyo LOTH HEMA
Girl you are damn smart. I am blessed na reply zako. Unajibu kwa ukubwa mno. Keep it up.
 
Factors ni nyingi sana, ila kwa ufupi, wapo wanawake ambao wako tayari.
Hii inategemea sana na mwanamke naye anatafuta nini akiwa na wewe.

Je anakuona wewe ni mwanaume ambaye unaweza kuwa mume au mwezi wake wa maisha au mnapotezeana muda tu. Wanawake huwa waelewa na wanajitoa sana kama kuna future au kama wamekupenda kwa dhati.

Ila mambo ya wanawake kuomba fedha nafikiri ni uvivu, kukosa aibu, ujinga na zao la patriachal society ambayo ilimuweka mwanaume kama mzalishaji na mwanamke kama mpokeaji. Inachukua muda kubadili hizi system ila kwa sasa nyie fungukeni tu kwa mababe zenu. Sisi tuliodate zamani, ilikua hauombi mwanaume mwenyewe anakupa, kuomba kilikua ni kitu cha fedheha.
Kabisa wanawake wazamani hata ukiwapatia pesa unakuta kaizalisha , just imagine mtu ana kuomba 500k akale bata tu? Huu si mtaji kabisa?
 
Mimi nina ndogo je sifai na ndo maumbile nilopewa na Mungu baba em nitetee mshangazi.
Ngoja nikutetee na nikupe neno.

Ndogo si mbaya, inaweza kutoa raha vile vile, ila inabidi ujitahidi kuwa mtundu kwenye vitu vingine pia. Jifunze kutumia mikono, mdomo na ulimi vyema ili uhakikishe mwenzako naye anafurahia.

Kama ni watu mlio open minded na si wa kitamaduni sana, basi karibisheni na toys kitandani ziongeze ladha.
 
Niulize mimi na wanawake wa jamvini chochote kuhusu masuala ya wanawake, afya zao, mienendo n.k na tutakujibu kwa uwazi bila kupindisha pindisha maneno.

Feel free kuaddress swali lako directly kwa mwanamke wa JF kwa kumtag.

View attachment 3303058
Siku uliyotolewa bikira ulijisikiaje? Na je ni kweli hamuwasahaugi waliowatoa bikira?
 
Back
Top Bottom