SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

1: Zile akili wanawake mnazitumia kufaulu mitihani shuleni huwaga zinaenda wapi kutambua kuwa hapa mwanaume anakudanganya au anakuchezea?
1. Mnakua mmeziteka, mnafanya tusifikiri vizuri, ila tukiamka akili ikakaa sawa, huwa tunawanyoosha sana.
2: Kati ya mdinyo na hela mnapenda nini zaidi?
2. Mdinyo (kwa sababu sina shida ya hela) ila natofautiana kati ya wanawake na wanawake
3: Wanawake mabikra mnajuaje huyu mwanaume ni kibamia?
3. Tuna macho
4: Kati ya kuikalia kwa juu ukune nazi na doggy style huwa mnapenda ipi sana?
3. Kukuna nazi
5: Kwanini mnatuambia tukiwapa mimba tutawaharibia maisha ili hali mnasema mpoteyari kujenga maisha na sisi?
Kwa sababu mimba na mzigo wa malezi uko kwa mwanamke zaidi ya mwanaume. Ukiwa na mtoto mchanga, kama mama ni ngumu zaidi kufanya shughuli za kujiingizia kipato wakati baba yeye haathiriki sana. Ukiachwa na kutohudumiwa maisha yako yanakua yameharibika, mpaka utakapoweza kusimama tena.
6: Kwanini mkiwa na mimba mnatusukumia na kusema ni mimba zetu ila mkizaa mtoto mnatunyima na kusema ni mtoto wako?
Sijui, sina experience na hilo
7: Ni kwanini wanawake watu wazima na watoto wadogo hamnatofauti ndani ya nyumba?
Sijaelewa hili swali, fafanua
8: Kwanini wanawake mnasema hela zenu ni za kwenu na hela zetu ni za kwenu huo uhalali mnautoa wapi?
Kwenye mfumo dume uliojengwa miaka na miaka
9: Kwanini wanawake tukisimama kwenye daladala mnatugandamizia matter-co yenu ila tukidinda kwa kuhisi kale ka mstari kaikweta na joto la taarabu mnatusimanga na kutuletea heka heka ?
Hawawagandamizii, gari linakua limebanana
10: Kwanini wanawake mkiwa kwenye siku zenu;-

i) mnaona kinyaa na damu zetu ili hali mnatutaka mkimaliza tuzame chumvini ?
Sijaelewa hili swali, fafanua vizuri
ii) mnaficha sana ped zenu zilizotumika mtazani sisi wanaume ni wachawi?
Mnataka tuziweke juu ya meza au? Tunaziweka mahali salama kwa sababu zina harufu na si kitu kizuri kukaa kwenye hadhara.
 
mtumishi nauliza et kwanini kwenye biblia imeandikwa wanawake tuishi nao kwa akili?
Hilo ni agizo kwa Wakristo. Lipo katika 1 Petro 3:7

Wanawake ni tofauti na wanaume kimwili na kihisia. Wameumbwa kwa namna ya kipekee. Mwanaume anapoambiwa kwamba aishi na mke wake kwa akili maana yake anahitaji kuelewa tofauti hizo na kujifunza jinsi ya kuenenda sambamba na mke wake. Kwa mfano, kuna wanawake wanaojisikia vizuri sana wakikaa na waume zao kwa maongezi tu. Sasa kama mke wako anapenda ukae nae jioni akueleze aliyoyasikia mtaani; wewe ukikataa kumsikiliza ukaanza kumshutumu kwa hasira kwamba aache umbeya wa wanawake, hapo tayari mtakosana. Anaweza kuhisi kwamba humpendi na usione ajabu akiamua kukunyima haki yako usiku!

Na ukiishi na mke wako kwa hasira namna hiyo na kumkaripia anapotaka kukushirikisha jambo, maombi yako yanaweza kuzuiliwa, yaani Mungu hatayasikia.

Ningekueleza mengi ila watu humu wanakataa Neno la Mungu ambalo lina msaada mkubwa kwenye mahusiano ya ndoa.
 
Nilijisikia hovyo tu, mimi aliyenitoa naye siku hiyo ndiyo ilikua mara yake ya kwanza. Kwahiyo ilikua ni experience ya kijinga jinga tu, hatukukulana after that kwa miezi kadhaa baadaye tukajaribu tena, with time mambo yakaanza kueleweka.

Anyway mimi nilimsahau na hayupo kwenye list yangu za midinyo bora.
Kenge wee unatudanganya live hapa eti nilimsahau....nyooo utamsahau vipi wakati hapa unasemankabisa mlishindwa first attempt then mkajaribu tena na tena mpaka ikapita
 
Back
Top Bottom