Nikalipe deni vikoba , utataka kujua mkopo nimechukua nimefanyia nini? Pengine hutaki kusikia habari hizo .
Michango ya party za marafiki, Kuna sare nataka ninunue nishone,
Nataka ninunue kiwanja kisirisiri usijue au najenga.
Nalima kijijini kwetu huko sijakushirikisha..
Pesa zangu Zina mambo mengi..
Vitu kama vyombo vya jikoni , nguo za watoto , mashuka , mapazia , decoration za ndani ya Nyumba wanaume wengi hawana budget nayo , hayo yote pesa ya mwanamke inafanyia kazi..
Kuna mengi ambayo ukimshirikisha mtagombana atakwambia unaendekeza mambo yasiyo na umuhimu kwahiyo ili tusigombane huwa hatuna hela siku zote.