SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Wanawake kadhaa iwe ni bonge au modo unaweza kuta ni piss kali lkn ikulu zinanuka Balaaa yaan unaweza usile Samaki mwez,, shida ni nini haswa? Maana hii Hali nakosa hata jinsi yakuwashaul
Uchafu tu wengine ni asili Yao mwili kutoa harufu ata ajisafishe vip
 
Kama yapi hayo?
Nikalipe deni vikoba , utataka kujua mkopo nimechukua nimefanyia nini? Pengine hutaki kusikia habari hizo .
Michango ya party za marafiki, Kuna sare nataka ninunue nishone,
Nataka ninunue kiwanja kisirisiri usijue au najenga.
Nalima kijijini kwetu huko sijakushirikisha..
Pesa zangu Zina mambo mengi..
Vitu kama vyombo vya jikoni , nguo za watoto , mashuka , mapazia , decoration za ndani ya Nyumba wanaume wengi hawana budget nayo , hayo yote pesa ya mwanamke inafanyia kazi..
Kuna mengi ambayo ukimshirikisha mtagombana atakwambia unaendekeza mambo yasiyo na umuhimu kwahiyo ili tusigombane huwa hatuna hela siku zote.
 
Aisee kenge nyie bahati yenu mbususu zenu tamu.
Singomaza wa watoto wa ngapi?
Na kwa nini singomaza mbususu zinu zinakuwa tamu kuliko hizi za non singomaza?
🤣🤣🤣🤣
Mm nisingomaza wa watoto watatu twins
Hapo kwenye utamu siwezi kujibu kwasababu sijui japo kiuhalisia masingomaza hua yanajutunza na kujipenda sana halafu wanasema utamu ni asili ya mtu tu sio kisa ni singomaza
 
Nyie kenge, kwa nini mkienda kwenye bathrooms za mahoteli ya kifahari mnapenda kupiga picha huku mmebinua matako yenu?

Na je mlishawahi kutamani tako la mwanamke mwenzio ukajisemea kimoyo moyo aisee ningekuwa na hili tako, hawa mbwa wanaume wangunikoma?

Japo itoke ungekuwa mwanaume kwa wiki moja ni kitu gani mnatamani sana sana mfanye?
 
Eeeh! Watoto watatu wametoka kwenye mbususu at once...hongera.

Nyie kenge kwa nini nyie single maza mnatamani kuolewa ila mitoto yenu ikileta single maza mnawakataaa?
 
Sisi sio matapeli ila tumewazidi akili, na mshukuru Hawa alichagua Apple ningekuwa mimi ningekula limao mpoteane dadeq shenzy zenu…!! 😹🤣🤣
Hahaa 😅 wanawake mna sero yenu kwa prison
 
Nyie kenge, kwa nini mkienda kwenye bathrooms za mahoteli ya kifahari mnapenda kupiga picha huku mmebinua matako yenu?

Na je mlishawahi kutamani tako la mwanamke mwenzio ukajisemea kimoyo moyo aisee ningekuwa na hili tako, hawa mbwa wanaume wangunikoma?

Japo itoke ungekuwa mwanaume kwa wiki moja ni kitu gani mnatamani sana sana mfanye?
Kwanza KENGE MWENYEWE 😏

Kuhusu kubinua matraco ni sehemu yetu ya kujivunia maumbile yetu, ulitaka tudindishe?? 😹😹
 
Nini Kinasababisha Mwanamke kumchukia mwanamke mwenzake?..

Mifano ni ming.
-wanawake wanasemage ningemkuta mwanaume pale huduma ingekuwa tofauti nk nk
"Adui wa mwanamke ni mwanamke Mwingine"

Kwahiyo kuna chuki. Je nini unahisi ni chanzo cha hii chuki kati ya mwanamke na mwanamke?

Mshangazi Mshangazi dot com singomaza Lamomy
 
Back
Top Bottom