SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Kwa nini baadhi ya wanawake wanapenda kuvaa nguo fupi sana kiasi kwamba hata kuinama mbele za watu ni mtihani? Pia kwa nini wanawake wengine wanapenda kucheza vigoma na kukata viuno kwenye madirisha ya mabasi hasa daladala wanazokodi kupelekwa kwenye shuhuri? Hawaoni ni hatari kwao?
Hizo ni tabia za wanawake wa temeke, wanapenda sana hiyo tabia.
 
Tunaigiza kwa asilimia kubwa especially kama mtu anakuboa I mean Hana utamu ili apate mzuka akojoe mapema
Pia sometimes inasaidia kumpa bichwa mwenye kibamia ajione mtu katika watu kumbe ushuzi Tu
Tatu maokoto babu .kumpa bichwa mwanaume ajione anaekula vizuri ili aongeze maokoto
Ukiwa bubu unakopwa Hadi nauli
Kwa nini hamtupendi sie wanaume wenye vibamia wakati sie ndio husband material wenyewe?
 
Kama huoni basi hao unaowajua hawasaidii kwao,au wanatuma hela Kwa mzazi badala ya vitu na kumbuka mzazi akitumiwa ela nae anaweza asinunue kitu Cha kuonekana ila ela anayotumiwa ndio akawa inalisha pale pale nyumban hivo usiseme huoni
Kuhusu kusaidia nyumbani hata wanaume tunachangia pakubwa, bado hiyo sio sababu toshelezi
 
Back
Top Bottom