SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Afu kuna hii inshu sjui vichwa vyenu vikoje,yaan mwanamke akikariri kufanya kitu kwa utaratibu fulani mpaka uje umubadilishe inakuwaga ngumu sana

Mfano vipimo vya chakula,kama familia ina watu 6 wakibak wawili bado mwanamke anaweza pika chakula cha watu sita,kubadilika ili apunguze chakula inaweza mchukua hata wiki nzima,ni kwamba vichwa vyenu vikogo taratibu sana kubadilika au ni vipi
 
Back
Top Bottom