Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #241
Hatuwadharau, ila kuna wanawake nyinyi siyo machaguo yao.Kwanini sisi wanaume wafupi mnatudharau na kutukataa kimapenzi?
Senti za kazi gani wakati una kula kuvaa na kulala? Mimi naamini ni wanawake wachache mno unaweza kuwapa buku baada ya mda ukaikuta ni buku 2 ameshaizalisha 🤔Anipe tu hata senti kidogo 🤗
Yeyote tu ndani ya ndoa au nnje wote wanadai pesa tu🤔Ndiyo tupo tayari, ila hapa unazungumzia mwanaume ndani ya ndoa au boyfriend?
Watt wa 2k wana usngese mwingi jamn khaaaaa anNIlishakwambia achana na habari ya mashangazi, utavunjwa taya 😂 😂
Unabanwa kwa sababu unamfikisha anakotaka, hebu focus tu na kale katoto kako ka alfu mbili maana hakawezi kukukosesha pumzi ukikanyonya 😆
Muraa abhakari bhano bhasuniri abhanto mono..Wanawake wa JF mambo zenu, fake female IDs haiwahusu hii.
Hivi mjane anahesabika kama single mother?Majanga yasiyozuilika kama vifo, ugonjwa na kadhalika.
Factors ni nyingi sana, ila kwa ufupi, wapo wanawake ambao wako tayari.Yeyote tu ndani ya ndoa au nnje wote wanadai pesa tu🤔
Mdada umenyoka sana hadi raha. Nitumie number yako PM nikutumie hela ya maji.NDIYO, sana tu
Binafsi hapana
NDIYO
Inategemea mtu na mtu
Inategemea, ila mwili unaoonyesha ukakamavu na siyo shida za kiafya.
Binafsi kwenye tendo mkuki tu uwe umesimama imara, vingine ni vionjo tu!
Wife amenishauri nitafute concubine mwerevu, awe na sifa ÿa kupata/kuwa na mafao ya kikokotoo, sina kimbilio lingine zaidi ya JF communityBaki njia kuu Dokta 😅
Girl you are damn smart. I am blessed na reply zako. Unajibu kwa ukubwa mno. Keep it up.Wengi wanataka kuolewa, ila masingle mother ni matokeo ya mambo matatu.
- Wanaume wa hovyo, wababaifu, wasiojali wa kuzingatia majukumu yao ya msingi.
- Wanawake kushindwa kuchagua vyema mwanaume wa kuzaa naye, kuzaa kabla ya ndoa au kufosi mimba ili kumtuliza mwanaume.
- Majanga yasiyozuilika kama vifo, ugonjwa na kadhalika.
Kila mtu inabidi aplay part yake ipasavyo LOTH HEMA
Kabisa wanawake wazamani hata ukiwapatia pesa unakuta kaizalisha , just imagine mtu ana kuomba 500k akale bata tu? Huu si mtaji kabisa?Factors ni nyingi sana, ila kwa ufupi, wapo wanawake ambao wako tayari.
Hii inategemea sana na mwanamke naye anatafuta nini akiwa na wewe.
Je anakuona wewe ni mwanaume ambaye unaweza kuwa mume au mwezi wake wa maisha au mnapotezeana muda tu. Wanawake huwa waelewa na wanajitoa sana kama kuna future au kama wamekupenda kwa dhati.
Ila mambo ya wanawake kuomba fedha nafikiri ni uvivu, kukosa aibu, ujinga na zao la patriachal society ambayo ilimuweka mwanaume kama mzalishaji na mwanamke kama mpokeaji. Inachukua muda kubadili hizi system ila kwa sasa nyie fungukeni tu kwa mababe zenu. Sisi tuliodate zamani, ilikua hauombi mwanaume mwenyewe anakupa, kuomba kilikua ni kitu cha fedheha.
Sio kweli joto ni mwili wa mtu tuKuna mtu alinambia warefu weusi 🍆zao zina joto sana kulinganisha na wengine ni kweli?
Ngoja nikutetee na nikupe neno.Mimi nina ndogo je sifai na ndo maumbile nilopewa na Mungu baba em nitetee mshangazi.
☺️Mhm hilo jina lako na jibu lako ni hatari😁
Mbombo ngafu😁😁
Mimi hela zimetosha sihitaji tena, ila kuna vijana majobless humu akina makutupora na Intelligent businessman naomba uwatumie hiyo hela, wapokee kwa niaba yangu.Mdada umenyoka sana hadi raha. Nitumie number yako PM nikutumie hela ya maji.
Siku uliyotolewa bikira ulijisikiaje? Na je ni kweli hamuwasahaugi waliowatoa bikira?Niulize mimi na wanawake wa jamvini chochote kuhusu masuala ya wanawake, afya zao, mienendo n.k na tutakujibu kwa uwazi bila kupindisha pindisha maneno.
Feel free kuaddress swali lako directly kwa mwanamke wa JF kwa kumtag.
View attachment 3303058
Mjane hapana (ila mjane ni mwanamke aliyeolewa na mume wake kufariki) wapo mabinti wengi ambao hawakua kwenye ndoa ila wazazi wenzao wamefariki.Hivi mjane anahesabika kama single mother?
Sasa mbona tukiwa na hela mnae delea kutupa mbususu huku mkijua hatuwafikishi?Hamtufikishi