SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Hivi kwenye vikao vyenu huwa mnashauriana nini kuhusu pesa za sisi wanaume?
Kwamba pesa zenu ni zetu na tukiwaachia mnaziharibu au mtahonga. So ni lazima tuhakikishe tunazichukua nyingi kadri tunavyoweza ili tuzifanyie vitu vya maana.
 
Nimetamani kuyajibu haya Binti wa zamani 😍
 
1. Hivi nanyinyi huwa mnakuwa na nyege?
Nakujibu kama ifuatavyo!

Speaking from experience, nimeanza kuzisikia in my late 20s, sikuwa napenda kabisa kufanya hilo tendo sanasana kwasababu ya Mpenzi tu ila binafsi sikuwa na interest kabisa mpaka nilivyokuwa mshangazi🤗
Kwahiyo jibu ni ndio na sisi tunasikia nyege mwaya..
2. Huwa pia mnawatamani kimapenzi baadhi ya wanaume mnaokutana nao barabarani
Ndio tena tunatoaga macho unatamani akusemeshe akuombe hata namba basi tu..😁
kama Sisi tunavyotamani tukikutana na dem kisu na kajazia nyuma?
Ndio
3. Huwa pia mnafanya musterbation?
Mpaka tunaangukia vyombo 🫘 👈🏾
4. Ni style gani huwa mnaipenda kwenye sita kwa sita?
Woohoo!!💃🏽 Napenda cowgirl na shotbacks😁 ila death of a roach nayo tamu😋


4. Ni kitu gani au sehemu gani ya mwili wa mwanaume huwa mnavutiwa nayo Sana mpaka unatamani ufanye nae mapenzi?
hapa kila mtu ana kaugonjwa kake mimi lips na hairy thighs🫦🙈
 
Mi mwenyewe naonaga tiktok nacheka😂
Yani hawajui tu kwamba tunaweza hata kujibana tu mapaja, ki🫘🫘 kikawa kimeminywa mpaka tuka na hiyo raha unaweza hata kudondoka kitandani 🤣🤣
Jamani sio kwamba kila mtu ana uniqueness zake😆
Wewe twambie ur fav. Parts dada🤗
Mimi sina 🤣 akili yangu imegoma kabisa kumtamani mwanaume kimuonekano.

Awe smart upstairs, asiwe mnene kupitiliza (maana nita-assume mechi yake mbovu) na asinuke - vingine sijali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…