SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Mi nauliza, vipi siku hizi mbona single mother wamekuwa wengi hivyo? Je hawataki kuolewa?
Wengi wanataka kuolewa, ila masingle mother ni matokeo ya mambo matatu.
  1. Wanaume wa hovyo, wababaifu, wasiojali wa kuzingatia majukumu yao ya msingi.
  2. Wanawake kushindwa kuchagua vyema mwanaume wa kuzaa naye, kuzaa kabla ya ndoa, tabia mbovu au kufosi mimba ili kumtuliza mwanaume kwenye mahusiano.
  3. Majanga yasiyozuilika kama vifo, ugonjwa na kadhalika.

    Kila mtu inabidi aplay part yake ipasavyo LOTH HEMA
 

Jibu la swali la pili: Kutoa ni moyo,kutongoza pia ni maamuzi...am sure wapo jinsia ke wanatongoza
Jibu la swali la tatu: Binafsi sijawahi kukubaliana na haki sawa
 
Kwanini kwenye biblia imeandikwa tuishi na nyie kwa akili?
Sijui, sikiamini hicho kitabu cha hadithi za mapokeo, ila one of the reasons inaweza kuwa ni kwa sababu biblia nzima imeandikwa na wanaume, kwa perspective ya kiume.

Anyway, kwa majibu sahihi kuhusu kitabu cha dini, kawaulize viongozi wako wa kanisa.
 
Kama ni hivi wanaume tunatapeliwa sana aisee!

"Ukiwa bubu unakopwa hadi nauli" 🤣🤣🤣
​
 
Umenisifia vya kutosha
 
Naomba niulize hvi inakuaje unakuta mtu ana umri mkubwa analazimisha kijana wa kiume mdogo mdogo amnyonye chini...

Na unakuta kijana wa watu anajitoa kufanya hivyo ila anaishia kubanwa na miguu mpaka anahisi kukosa pumzi

Why why why 🥺🥺🥺
 
Kurudi inategemea na mlivoachana,na hapo kwenye kurudi Kwa mzazi mwenza kupigwa mashine nikwa wachache wasio na mbele Wala nyuma kimaisha, huwezi Kuta single mother aliejipata kimaisha amerudi Kwa x
Hivi Kwa nini ma single mother wengi hawataki kurudiana na wazazi wenzao,,Ila wakipata mtu mwingine wanarudi kwa wazazi wenzao kupigwa machine?
K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…