Hao wako wana asili ya uchafu,. Wachunguze vizuriKwanini kabla hatujawapata huwa mnanukia vizuri mnapendeza hatuskii hali yoyote mbaya ila tukishawapata mnakua na kiharufu flan hivi kibaya kibaya kinachomfanya mtu awakinai?
ngoja nimuite hapa SetfreeSijui, sikiamini hicho kitabu cha hadithi za mapokeo, ila one of the reasons inaweza kuwa ni kwa sababu biblia nzima imeandikwa na wanaume, kwa perspective ya kiume.
Anyway, kwa majibu sahihi kuhusu kitabu cha dini, kawaulize viongozi wako wa kanisa.
😂😂😂 Inategemea Kuna wakati inatoka kutoka moyoni kabisa na Kuna wakati tunafek Ili tu umalize upite hiviHivi ile miguno mnayotoa wakati wa tendo inakujaga tu kama tendo lisilo la hiari au mnatuigizia?
Mamndenyi
Hata nikiwa na wewe nitaiskia tu hiko kiharufu , kila mwanamke anahicho kiharufu kinachokinaishaHao wako wana asili ya uchafu,. Wachunguze vizuri
Basi sawaHata nikiwa na wewe nitaiskia tu hiko kiharufu , kila mwanamke anahicho kiharufu kinachokinaisha
Wanaume wanatupiga matukio huko ndani ya ndoa Hadi unafika hatua moyo wa Uvumilivu unakufa ganzi ,embu imagine upo kwenye ndoa na mwanaume anazaa ovyo huko nje ,uko kwenye ndoa na mwanaume anakupiga, uko kwenye ndoa na mlevi mbwa, uko kwenye ndoa na mwanaume asietimiza majukumu yake,upo kwenye ndoa na mwanaume anakudhau ,uko kwenye ndoa na mwanaume anatembea na ndugu Yako, utaacha kua single mother kweli?? Halafu mbona masingle father huku mitaani wamejaa hamuwasemi😁😁Mi nauliza, vipi siku hizi mbona single mother wamekuwa wengi hivyo? Je hawataki kuolewa?
Sasa tumsumbue nani😂😂Kwann hua mbatusumbua mkiwa mimba
Naomba mtoa post nikuulize, ni mambo gani kwa mwanaume humvutia mwanamke? Pili ni tukio gani akilifanya mwanaume mnajisikia hisia za kusex na huyo mtu?
Tatu, kabla ya sex ni maandalizi gani mnavutiwa nayo
Nne huwa mnaangalia porn movies?
Sawa, waambie wasiufunge tu, maana hawakawii.Uzi mzuri, niko naupitia na Mods hapa.
Piga kazi nakutetea hukuSawa, waambie wasiufunge tu, maana hawakawii.
kwahio mi sio mwanamke mbona hujanitagSisterhood naomba msaidie kutoa majibu please 💕
CC:
nakwede97 ⋆ Aaliyyah * Mallerina
Leejay49 ⋆ Atoto * Demi
Sister Abigail ⋆ Ms R
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye
Msweet ⋆ Chujio
cocochanel * Anastasia21
ledada ⋆ Carleen
Numbisa ⋆ Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley
ephen_ ⋆ Donatila * Lamomy
Jackcharty * Kelsea * Braying * Evelyn Salt
Oooh sorry babes, ngoja nikuadd 💕kwahio mi sio mwanamke mbona hujanitag
Lazima mtume na ya kutolea coz tukikutana mwenye uhakika wa kufika kileleni asilimia 💯 ni mwanaume..!!Swali langu la pili:
Inakuwaje mnatudanganya na nyie mna moyo wa kupenda wakati kila siku yakutolea tunatuma sisi na kutongoza hamjui?
Swali la 3:
Kwanini mnataka haki sawa kwa wote? Hamuoni kama ni Dhambi au kumaanisha kuwa na sisi tuwe wanawake au ninyi muwe wanaume?
Mshangazi dot com
Joanah
Bantu Lady
Anastasia21
Lamomy
Leejay49
Nyamwi255
Mama Dee
Miss Natafuta
Sisi sio matapeli ila tumewazidi akili, na mshukuru Hawa alichagua Apple ningekuwa mimi ningekula limao mpoteane dadeq shenzy zenu…!! 😹🤣🤣Swali la mwisho:
Nikisema nyie ni matapeli kwa mujibu wa andiko la "Tuishi na nyie kwa akili" Je mtakataa?
Mshangazi dot com
Lamomy
Miss Natafuta
Ma ma eeeSisi sio matapeli ila tumewazidi akili, na mshukuru Hawa alichagua Apple ningekuwa mimi ningekula limao dadeq shenzy zenu…!! 😹🤣🤣