SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Sisi sio matapeli ila tumewazidi akili, na mshukuru Hawa alichagua Apple ningekuwa mimi ningekula limao mpoteane dadeq shenzy zenu…!! 😹🀣🀣
Vile nimecheka, nilikua nakusubiri sana uje uwape za uso πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜‚
 
Afu kuna hii inshu sjui vichwa vyenu vikoje,yaan mwanamke akikariri kufanya kitu kwa utaratibu fulani mpaka uje umubadilishe inakuwaga ngumu sana

Mfano vipimo vya chakula,kama familia ina watu 6 wakibak wawili bado mwanamke anaweza pika chakula cha watu sita,kubadilika ili apunguze chakula inaweza mchukua hata wiki nzima,ni kwamba vichwa vyenu vikogo taratibu sana kubadilika au ni vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…