Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Nimesoma na Jumaa Mhina,Ras Longido,Jamaa alikuwa anapenda papuchi balaa,Sasa ana wake wawili,mmoja yupo Marekani na mwengine yupo kwake Ununio na Arusha naskia yupo na mtoto wa Kimbulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtatiro alikuwa waziri Mkuu,DARUSO.
Mikopo BUSH
huyo kiduku hata kuzaliwa alikuwa hajazaliwa hiyo miaka ya 80Dah! nimekumbuka mbali sana,miaka ya 1980 nilikuwa nchini korea nikichukua masomo fulani na huyu Rais wa sasa mnaemwita KIDUKU jamaa alikuwa mkorofi balaa alikuwa anatembea na bastola! jamaa alikuwa hana demu kabisa...Yeye ukikaa nae story zake ni vita tu.
Huyu huyu Angela huyu huyu?Mm nimesoma na Angela Kairuki alikuwa mzuri sana wa sura na tabia kuwazd wengne darasani tatzo alikuwa ana nidham ya woga, Headmaster alianza kanchezo ketu na yeye kwa hyo akawa anajifanya anajpendekekeza kwa master na ana nidham kumbe kuna ktu nyuma ya pazia
Kabisa nimeona watu wachache tu ndo wameeleza ukweliUzi huu umeanzishwa kwa lengo zuri tu la kushare tabia ama sifa za viongozi wetu kwa wale waliobahatika kusoma nao ila kuna baadhi ya wadau wanauharibu kwa kukebehi na kuandika uongo
R.I.P deoMkuu, ulikuwa Forest Hill Moro? Nilisoma F5 & 6 na Filikunjonbe, akiitwa Deo Haule. Alijiunga nasi akitikea Seminari, jamaa alikuwa mpole sana. Head prefect wetu alikuwa John Nchimbi, jamaa alikuwa mwembamba mno, kweli duniani hakuna mtu mwembamba ila shida tu.
Vv
Kweli kabisa , kuna ukweli kwamba alianzia Zanzibar university ndo akarudia DSM kuanza upya?Thread nzuri
Nashukuru Mungu Nilipata Bahati ya Kusoma Na ndg zitto kabwe pale udsm from 1999-2003 he was a great lad na Mtu mwenye maono. Japo Hakuwa kipanga sana class na ila alimake it inlife na Kuwa Kiongozi mzuri na mwanasiasa machachari Ni hayo tu kwaleo.
Nafikiri we ulikuwepo UDSM kati ya mwaka 2005 mpaka 2008Hiyo ni baada ya mikopo, wakati anakuwa Waziri Mkuu si tulikuwa tumemaliza.
Nafikiri we ulikuwepo UDSM kati ya mwaka 2005 mpaka 2008
Rais wa chuo Mwita mwaikabe sasa mbunge
Kisha Mwita Magesa sijui alipo kwa sasa
Juliasi Mtatiro akiwa kiongozi wa Tahiluso
John Mnyika akigombea ubunge kwa Mara ya kwanza
Catherine Nyakao akiwa BCOM kwa sasa mbunge CDM
JPM akifanya PHD
Kaandike upya hii thread km unataka akusikie keshakusikiaHabari za wana jf naona ni vema
Tukiwa wanafunzi tuliamini kwamba labda kijana Fulani kutokana na usmartness wake atakuwa kiongozi Fulani wizarani, au anaweza kuwa kiongozi mkubwa baadae,
Kwa upande wangu nimebatika kusoma shule moja na ridhiwani kikwete
Huyu sifa zake ni kwamba
1. Alikuwa anajituma sana na ni mtu anaye weza sana masomo darasani,
2. Alikuwa Ana hekima ya kulelewa, haikuwa rahis kugundua kama ni mtoto wa waziri kipindi kile, na aliweza sana kuficha identify hiyo,
3. Sikuwahi kuona anapewa adhabu au kuadhibiwa kwa makosa ya siyo kuwa ya msingi. Kama anapata adhabu basi hiyo ilikuwa ya kulikumba darasa zima,
4. Kuna mwalimu mmoja alikuwa anatwambia kwamba siku akikuta waliofanya makosa na ridhiwani yumo basi alikuwa na kigugumizi hata kutoa adhabu, na kama anasamehe kundi basi ni kwa sababu kuna kijana mwenye adabu,
Nakumbuka siku moja tulikuwa na utani sana darasani tukafoji muhuri Fulani ili tuwatanie vijana tarehe moja April siku ya wajinga, tukaandika kuwa wamelipa Ada yote hawadaiwi, sasa kwa ujinga hatukujua kama ni kosa ,
Mimi nikawa nagawa zile receipt kwa wanafunzi tunaoona ni mazuzu, wakapeleka nyumbani lakin wajanja wajagundua tunawatania,wakazichana, sasa ziku ya kufukuza Ada ikafika akaja mwalimu maarufu kwa jina Walter wakaanza kusoma ambao hawajalipa Ada, kuna mdada mmoja mjinga mjinga kumbe Ile receipt kaiweka kwenye shati. Akasema nimeshalipiwa na ridhiwani na **** , msaala ukaanza tukaitwa mpaka kwenye ofis ya mkuu wa shule naye alikuwa mtata kweli, alivyoanza kutuadhibu mwalimu mmoja akaja kwakuwa alimuona ridhiwani pale akasema hata barua zile tulizokuwa tumeandikiwa kufukuzwa wakakaa kujadili. Wakatusamehe ila viboko tukapokea, na mwalimu akatwambia kuwa mmesamehewa kisa huyu,
Si kwamba kwa kuwa ni mtoto wa waziri bali nidhamu yake
Wakati huo tulikuwa na watoto wa vigogo wengi wanafukuzwa tu,
Hivyo tunaomba waliosoma na Makonda,
Waliosoma ma magufuli
Waliosoma na kikwete
Waliosoma na Nape
Au kiongozi yeyote weka hapa na tabia yake ya utotoni
Umekumbuka aliyekuwa anadate nae tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilisoma na Julius Mtatiro, alikuwa kiongozi wa chakula alafu mtata kweli yule mkurya. Alikuwa akimdate dada mmoja anaitwa Grace na ilijulikana hadi na walimu ila hata hakufanywa lolote. Sijui ndio alikuja kumuoa!!
Heshima kwako mhenga.Rtd General Davis Mwamunyange......Mawenzi Secondary School:1967 to 1970.
Alikuwa mpole na kichwa yake imejaa vitu....ni namba moja tu miaka yote hiyo,hajawahi kuwa wa pili.
Hekima na busara tokea shule alikuwa nazo.
Acha kuzingua dogo alisoma chuo ulaya bila kujulikana.Dah! nimekumbuka mbali sana,miaka ya 1980 nilikuwa nchini korea nikichukua masomo fulani na huyu Rais wa sasa mnaemwita KIDUKU jamaa alikuwa mkorofi balaa alikuwa anatembea na bastola! jamaa alikuwa hana demu kabisa...Yeye ukikaa nae story zake ni vita tu.
Heshima kwako mhenga.
Acha kuzingua dogo alisoma chuo ulaya bila kujulikana.