Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

huyo kiduku hata kuzaliwa alikuwa hajazaliwa hiyo miaka ya 80
 
Huyu huyu Angela huyu huyu?
 
Uzi huu umeanzishwa kwa lengo zuri tu la kushare tabia ama sifa za viongozi wetu kwa wale waliobahatika kusoma nao ila kuna baadhi ya wadau wanauharibu kwa kukebehi na kuandika uongo
Kabisa nimeona watu wachache tu ndo wameeleza ukweli
 
R.I.P deo
 
Kweli kabisa , kuna ukweli kwamba alianzia Zanzibar university ndo akarudia DSM kuanza upya?
 
Reactions: SDG
Hiyo ni baada ya mikopo, wakati anakuwa Waziri Mkuu si tulikuwa tumemaliza.
Nafikiri we ulikuwepo UDSM kati ya mwaka 2005 mpaka 2008

Rais wa chuo Mwita mwaikabe sasa mbunge
Kisha Mwita Magesa sijui alipo kwa sasa
Juliasi Mtatiro akiwa kiongozi wa Tahiluso
John Mnyika akigombea ubunge kwa Mara ya kwanza
Catherine Nyakao akiwa BCOM kwa sasa mbunge CDM
JPM akifanya PHD
 

2004 - 2007, BCom Accounts.
- Nyakao ni classmate.
- Mwita Mwikabe alikuwa Rais 2005-06, Magesa alikuwa Rais 2006-07; alipambana na Makoye (Classmate too).
- Magesa aliwahi kujadiliwa humu, nadhani ilisemwa yuko Tanroads, na yuko kwenye siasa pia lakini siyo level za juu.
 
Kaandike upya hii thread km unataka akusikie keshakusikia
 
Nilisoma na Julius Mtatiro, alikuwa kiongozi wa chakula alafu mtata kweli yule mkurya. Alikuwa akimdate dada mmoja anaitwa Grace na ilijulikana hadi na walimu ila hata hakufanywa lolote. Sijui ndio alikuja kumuoa!!
Umekumbuka aliyekuwa anadate nae tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Rtd General Davis Mwamunyange......Mawenzi Secondary School:1967 to 1970.
Alikuwa mpole na kichwa yake imejaa vitu....ni namba moja tu miaka yote hiyo,hajawahi kuwa wa pili.
Hekima na busara tokea shule alikuwa nazo.
Heshima kwako mhenga.
 
Acha kuzingua dogo alisoma chuo ulaya bila kujulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…