Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

Hahahah
 
Aiseee nmesoma na bashite pale muccobs moshi...jamaaa alikuwa anapenda sana kulala afu jamaaa sifa amezaliwa nazo..alikuwa anapenda sana kuonekana kwa mademu na kingine huyu jamaa alipenda sana kuingia na vibomba wakati wa mitihani
 
Kumbe kasoma¿?
 
Nimesoma na Mkuu wa Wilaya ya Longido.Ni mtu wa kujituma hana majivuno wala dharau.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…