Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

Nimesoma darasa moja kinjeketile ngwale pale songea alikua mtu mwenye majivuno sanaaa
 
Nimesoma darasa moja kinjeketile ngwale pale songea alikua mtu mwenye majivuno sanaaa
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Waliosoma na huyu jamaa naskia alikua anapenda sana kulala kwenye pindi la Maths, walio soma nae waje wadadvue zaidi

 
Mie nilisoma na WASIRA chekechea yaani aliniazima past paper zangu tokea kipindi hicho hadi leo hajanirudishia,ila naendelea kumdai
 
Dah......nimesoma na mwalimu.....hata sahau msaada niliyompa kwenye hisabati.....muulizeni[emoji87] [emoji13] [emoji41]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji6] buklet ya tatu
 
Nilisoma na Julius Mtatiro, alikuwa kiongozi wa chakula alafu mtata kweli yule mkurya. Alikuwa akimdate dada mmoja anaitwa Grace na ilijulikana hadi na walimu ila hata hakufanywa lolote. Sijui ndio alikuja kumuoa!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] shikamoo dada
 
Daaah Mwigulu,namkumbuka sana pale Mazengo complex.
Nchemba alikuwa anawasalimu watu kwa kunyoosha vidole vi3 juu kumaanisha eti atapata Div One ya points 3.

Domi la ujamaa middle
 
We baba shikamooo with great respect
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Upo!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…