Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

Jonh gani Cheyo au Chato?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji30] una chuki binafsi
 
Hapana
 
Alikua mwalimu wangu kidato cha2 kanifundisha history, kweli jamaa anapiga balaa si fimbo wala mkanda alitoka jitegemee ndipo akaja kufundisha shuleni kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisoma na jamaa anaitwa:Kanambe kazemberembe kabange Mtwale,Sasa hivi ni Rais kwenye nchi fulani hapa Africa!
 
Ayoub Rioba (Mr Bango), TBC boss. Nilikuwa kiongozi wake wa bweni,yeye akiwa katibu wa shule. Hakuwa na vurugu,mtetezi sana wa vidato vya chini.
 
Mnyika au?
 
John huyuhuyu 🤣🤣🤣🤣 ila jamaa uliuaa asee cjui kwann ckuiona hii thread mapema
 
Ndo ashakuwa raisi usichoke kumtafuta siku mambo yakikwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…